NAOT LEGAL OFFICERHongera sana Prok.Hopefully mrija wa asali haupo mbali ndugu. Ni kada Gani hiyo? Ili wengine tujue kama tumeshakandwa tayari au laah
Amen dear[emoji1431]Hongera Sana aisee,unatoboa naamini
kuchambua kama unavinasaba na chademaWanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinacho endeleea?
One day yes bro[emoji1751][emoji1751][emoji1751]
Defeated
Wawoooo hongera sana all the bestSelected for oral interview HESLB
Not Selected for oral interview NAOT
nadhani bado kada nyingineSijui mkuu, nimeangalia asubuhi hii sijaiona.
Cha muhimu waliochaguliwa wamejulishwa kupitia account zao
Dah! Japo tutafika ila kwa kuchoka sananadhani bado kada nyingine
wale ambao hawana Practical pdf wanaeza toa kesho usiku ili watu jumapili wasafiri kwa ajili ya oral interview jumatatu
ni subira tu mkuu
maana hata hawa wa ICT prac zao ni kesho ndo maana pdf wametoa usiku wa jana
leo wat wasafiri ili wawepo dar kesho kwa prac interview!!!!!
Congratulations [emoji1431]Nashukuru nimekuwa Selected for Oral interview-HESLB
Hivi hawa ndo oral tena ni Dodoma [emoji23]nadhani bado kada nyingine
wale ambao hawana Practical pdf wanaeza toa kesho usiku ili watu jumapili wasafiri kwa ajili ya oral interview jumatatu
ni subira tu mkuu
maana hata hawa wa ICT prac zao ni kesho ndo maana pdf wametoa usiku wa jana
leo wat wasafiri ili wawepo dar kesho kwa prac interview!!!!!
Pole mkuu naamini mda wako utakuja, dah maisha aya.Defeated
Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinacho endeleea?
Congrats mzee sasa tuishi nao kwenye oral mpaka kielewekeSelected for oral interview HESLB
Not Selected for oral interview NAOT
Kwa sababu mtaani ajira private sector ni chache sana na zilizopo watu wanapeana kwa kujuana na vijana hawana fursa za mitaji kujiajiri , hamna anayependa kwenda kuteseka huko kwenye misululu ya watu 4000 kugombania nafasi 3 ,ni kwamba hali ya wasakatonge ni mbaya mno mtaani .Swali la msingi ni kwanini mpaka leo watu bado wanategemea kazi za serikali?
Mtaa unataka mtaji unao?Swali la msingi ni kwanini mpaka leo watu bado wanategemea kazi za serikali?
Kwa sababu mtaani ajira private sector ni chache sana na zilizopo watu wanapeana kwa kujuana na vijana hawana fursa za mitaji kujiajiri , hamna anayependa kwenda kuteseka huko kwenye misululu ya watu 4000 kugombania nafasi 3 ,ni kwamba hali ya wasakatonge ni mbaya mno mtaani .
Ukitaka kujua jinsi hali ya ukosefu wa ajira nchi hii ilivyombaya angalia ratio kati ya Job applicants na job vacancies , fanya maths hapo uone ratio , utabaki kinywa wazi .
Mi kuna muda nahisi tushafika au soon tunafika levels za wenzetu westAfricans kama Nigeria kule ambao ni kiwanda cha kuzalisha criminals na caravans za illegal migrants kwenda Europe kwa Mitumbwi.
Shida ni kwamba sisi watu weusi huwa tunachukulia mambo easy sana , unakuta tunaona magnitude ya tatizo ilivyo ila utakuta hata serikali yenyewe hawaji na real implementatable solution ,ni maneno ya kipuuz na kejeli dhidi ya waganga wa hilo tatizo bila kujua ni ticking time bomb ambayo inaweza matatizo mengi sana ya kijamii .
Kila la heri ndugu wakiliNAOT LEGAL OFFICER
Ahsante sana. Mungu akubariki[emoji1431]Kila la heri ndugu wakili