Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
Hao wanaita mimi niliitwa mwakajana nikapiga interview mpaka oral ila watu walio itwa kazini sikuwepo nikakandwaHivi hawa Tanroads haya matangazo yao ya kazi huwa wanaita watu kweli , maana mm huwa natumaga maombi ila sijawahitwa interview hata moja. Nakumbuka ya mwisho kutuma ilikuwa mwaka jana Tanroad Mwanza ila hadi leo kimya . Na zilikuwa za mkataba ya mwaka.
Au hii Taasisi pia ndio wale wale kuitana kwa undugu kwenye kazi yao.
Watu ua wanaitwa kazini toka interview ya mwaka 2022 ua huoni? Hapo badoTarehe 9.11.2023, nilifanya oral interview pale Asha rose migiro Psrs Dodoma.
Imetimia miezi 3 bila majibu yoyote ya waliopata au kukosa, ni jambo zuri kujua majibu ya ulichofanya iwe ni hasi au chanya kwa sababu ya muda na rasilimali zilizotumika kufika kwenye usaili zinathibitisha uhalali wa kupata majibu.
Ilichukua mda gani mpaka ukaitwa interview baada ya kuombaHao wanaita mimi niliitwa mwakajana nikapiga interview mpaka oral ila watu walio itwa kazini sikuwepo nikakandwa
Hawana connection
Pole! Ila hakuna namna nyingine, endelea kuomba ili uwe na "received" nyingi kuna siku utatoboa.SINA IMANI NA PSRS
Anzia miez sita na kuendeleaNaomba kuuliza hivi PSRS wanatumia muda gani mpka kuita watu kwenye usajili?
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Mtihani wa kusubiri uhitajike ili uitwe...mi nilijua ukimaliza oral ndo mitihani imeisha kumbe kuna mtihani mwingine bhana 🤣 🤣
Mambo ya nyakati tuu, yaani lililopangwa lazima liwe Mkuu, utalamba asali tuu.HUU UZI NI KAMA TUNAUSOGEZA KIBABE TU HALI MBAYA HATA VYA KUJADILI HAKUNA eg interviews, jinsi ya kujibu oral, nauli na guest, asali za nyuki wakubwa na wadogo etc......WATU WAKO HOI, UZI UKO HOI
Inaonyesha wanamajina mengi ya mwaka 2022 walikuwa wameyashikilia mkononi au Katibu alikuwa mvivu kusainiWatu ua wanaitwa kazini toka interview ya mwaka 2022 ua huoni? Hapo bado
Kuna Jamaa Kila twitter Mama(Rais) akipost jamaa anatoa malalamiko yao watu wa surveying officer kuhusu kupangiwa kazi mwisho wa siku walipata toka hapo sijaona tena tangazo lile....SINA IMANI NA PSRS
utumishi postini hata gazeti..
🤣 🤣 🤣Hahahaha! Duh! Prof huwa unanivunja mbavu sana na comments zako.