Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

PSRS YA MWAKA 2021 SIO 2024.

KULIMBIKIZA DATABASE.

KUTOITA WATU MAKAZINI.

RAISI SIKIA KILIONCHETU
 
Hivi hawa Tanroads haya matangazo yao ya kazi huwa wanaita watu kweli , maana mm huwa natumaga maombi ila sijawahitwa interview hata moja. Nakumbuka ya mwisho kutuma ilikuwa mwaka jana Tanroad Mwanza ila hadi leo kimya . Na zilikuwa za mkataba ya mwaka.
Au hii Taasisi pia ndio wale wale kuitana kwa undugu kwenye kazi yao.
Hao wanaita mimi niliitwa mwakajana nikapiga interview mpaka oral ila watu walio itwa kazini sikuwepo nikakandwa

Hawana connection
 
Tarehe 9.11.2023, nilifanya oral interview pale Asha rose migiro Psrs Dodoma.
Imetimia miezi 3 bila majibu yoyote ya waliopata au kukosa, ni jambo zuri kujua majibu ya ulichofanya iwe ni hasi au chanya kwa sababu ya muda na rasilimali zilizotumika kufika kwenye usaili zinathibitisha uhalali wa kupata majibu.
 
Watu ua wanaitwa kazini toka interview ya mwaka 2022 ua huoni? Hapo bado
 
Raia tunaosubiri placement tupo hoi balaaa... Allaah atafungua milango tyu inshaallaah tuendelee na subra labda wanaandaa mikeka mikubwa..
 
Watu ua wanaitwa kazini toka interview ya mwaka 2022 ua huoni? Hapo bado
Inaonyesha wanamajina mengi ya mwaka 2022 walikuwa wameyashikilia mkononi au Katibu alikuwa mvivu kusaini
hapo bado hawajagusa January to March 2022
 
Back
Top Bottom