mavumbamakasha
JF-Expert Member
- Aug 18, 2020
- 228
- 449
Ilikuwa tesesi sasa imekuwa kweli!!Kuna mtu bado ana Imani ya kupata kazi serikalini kweli?
Ilikuwa tesesi sasa imekuwa kweli!!
mtembelee mabumbe mkaongeze received kule naona utumishi wameshatuachia shuka. [emoji1787] [emoji1787]
Kama umeingia oral na bado kwenye app inasoma selected for oral imani bado ipo..Kuna mtu bado ana Imani ya kupata kazi serikalini kweli?
Naifahamu na kila siku lazima nipite huko hata mara 3, uliposema wameweka za utumishi tuongeze ndio nikaenda kuchungulia faster hamna kitu...no mabumbe wanapost kazi tofauti tofauti ni career website
Kama umeingia oral na bado kwenye app inasoma selected for oral imani bado ipo..
Umemaliza chuo mwaka ganiKwan n muda gn iyo selected for oral inaondoka?au baada ya muda gani after doing oral interview ile status inachange?
Hatari, wanabadilisha tu picha ya yule marehemu pale web!Mwanzo wa mwaka huu .. kila kitu kigumu
Tuwe wavumilivu tu kaka.Hatari, wanabadilisha tu picha ya yule marehemu pale web!
Halfu kiko latikati.kinachoniuma mimi ni kwa nini kile kimulimuli hakizimiii..
UTUMISHI.
TUWAAENDEE KWA MWAMPOSA.
TUWAENDEE KWA MAKONDA.
AU KWA MAMA MWENYEWE.
HAIWEZEKANI WANATEGEMEWA KUSIMAMIA AJIRA TANZANIA NZIMA KARIBIA MIEZI MIWILI WANATOA MAJINA KUSUASUA ILA KUITA WATOTO WA WAKULIMA INTERVIEW ILA WALE PER DEIM HAWAJAMBO .
NA UGONJWA WA KULIMBIKIZA DATABASE .
Tuachane na Utumbo wa TGSTWENDE KWA MWAMPOSA TUPATE KAZI UNITED NATIONS (UN)!