Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huu ni ujinga sasa, kuna haja gani ya vijana wanaokwenda jkt kujitolea halaf ajira zikitoka wanashindanishwa na wasioenda
Pale JKT umeenda kujifunza sio ajira direct...
Sheria ya Utumishi inasema ushindani... kwann waweke vigezo vigumu hvyo kama sio kupitisha watoto wao kwa mgongo wa JKT ni nn.....
Hapo JKT itabaki wanaoingia JWTZ ....
Hawa wengine tuweke mpira kati....
Tena Bunge lingenyooka tu lingesema refa wa mchezo asimame Utumishi..
 
aisee nipo live tokea saa 12 asubuhi kila baada ya sekunde tano naingia web.ukisikia unyanyasaji wa kimtandao ndio huu sasa..
Na bundle unalo[emoji23]..bora kungekua na official date aiseee,subra ya kusubir majibu ya psrs ni ngumu ambayo ujui n lin yatatoka,unajitaid kujikeep busy but unashangaa wazo linakuja tu
 
Na bundle unalo[emoji23]..bora kungekua na official date aiseee,subra ya kusubir majibu ya psrs ni ngumu ambayo ujui n lin yatatoka,unajitaid kujikeep busy but unashangaa wazo linakuja tu
siku nyingine hadi nakopa bando yaani siku nikienda kuchukua barua ya asali naenda na meseji za tigo wanirudishie hela yangu..
 
siku nyingine hadi nakopa bando yaani siku nikienda kuchukua barua ya asali naenda na meseji za tigo wanirudishie hela yangu..
Mkuu huna haja ya kukopa bando ili kufatilia habari za placement kama umepata au bado zamu yako haijafika

Ukipata kazi trust me mtu wa Kwanza kujua sio wewe ni watu wengine kabisaa, itakuwa ni either Hater ambae alikuwa anakudundia usipate au mtu aliekuwa anatamani upate

Kwahiyo utapigiwa simu ata sa 7 za usiku kupewa hizo taarifa, ila kusema eti hadi unakopa ili tu ufatilie habari za placement sidhani kama ni matumizi mazuri ya mkopo wa bando

We chili tu kwa sababu ukikosa utajua na ata ukipata utajua, haijarishi una bando au hauna, though najua kuwa unajoke unaposema kuwa unakopa bando ili kufatilia habari za placement
 
unalolisema ni kweli kabisa ila ukiaa ukatulia kuna karoho kanakuambia hebu chungulia unaweza kua umelamba asali.yaani kukashinda hako karoho inahitaji maombi mazito..
 
unalolisema ni kweli kabisa ila ukiaa ukatulia kuna karoho kanakuambia hebu chungulia unaweza kua umelamba asali.yaani kukashinda hako karoho inahitaji maombi mazito..
Ni kweli unachosema ila ni maamuzi Tu mkuu na mindset yako, kwa sababu usipoamua kupotezea na kumove on itakupa tabu sana ata kwenye kufanya maamuzi mengine ya kutafuta Ridhki kwa kuhisi Asali itaingilia kati

Mimi baada ya kufanya oral mwezi wa Kwanza na majina yakaanza kutoka mwezi wa 3, hadi wa 6 majina yanatoka tu ila langu kushney, nikaamua kumove on na Mambo mengine maana muda hauniruhusu Mimi kuendelea kuwasubiri utumishi

Nikaacha kabisa kuingia Ajira portal website hadi App, nikasahau kabisa ata kama nilifanya interview, nikaanza kutafuta kazi serious private sector na ilipofika mwezi wa 7 nikawa nimepata kazi private

na bahati mbaya au nzuri kufika mwezi wa 11 nikapigiwa simu na washkaji kunipa hongera wengine ata waga hatuongei wakinipa habari za placement imenikuta sipo kinyonge

Sasa sio mara zote utapata kazi private na Gavoo tena ikakukumbuka kwahiyo ni kheri ukajiandaa kisaikolojia kwamba ikija au isije fresh Tu ila angalau una shughuri halali inayosaidia mkono kwenda kinywani na kutatua shida zingine za kibinadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…