zoga
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 779
- 1,527
Pale JKT umeenda kujifunza sio ajira direct...Huu ni ujinga sasa, kuna haja gani ya vijana wanaokwenda jkt kujitolea halaf ajira zikitoka wanashindanishwa na wasioenda
Sheria ya Utumishi inasema ushindani... kwann waweke vigezo vigumu hvyo kama sio kupitisha watoto wao kwa mgongo wa JKT ni nn.....
Hapo JKT itabaki wanaoingia JWTZ ....
Hawa wengine tuweke mpira kati....
Tena Bunge lingenyooka tu lingesema refa wa mchezo asimame Utumishi..