HahahaMkuu huna haja ya kukopa bando ili kufatilia habari za placement kama umepata au bado zamu yako haijafika
Ukipata kazi trust me mtu wa Kwanza kujua sio wewe ni watu wengine kabisaa, itakuwa ni either Hater ambae alikuwa anakudundia usipate au mtu aliekuwa anatamani upate
Kwahiyo utapigiwa simu ata sa 7 za usiku kupewa hizo taarifa, ila kusema eti hadi unakopa ili tu ufatilie habari za placement sidhani kama ni matumizi mazuri ya mkopo wa bando
We chili tu kwa sababu ukikosa utajua na ata ukipata utajua, haijarishi una bando au hauna, though najua kuwa unajoke unaposema kuwa unakopa bando ili kufatilia habari za placement
mwanae sana huyo, wana wamejirambia asali🤣🤣🤣Anaungana na mwanae IT Personnel kupata cheki namba.
Bado tunavuta subra. Imani ipo kubwa sana. Ni suala la muda tu. Kila kitu huja kwa wakati sahihi. Pia congrats coz pdf imeshiba.Ambao hampo kwenye pdf mna lipi la kusema 😂
Kwani hizo nafasi za kwenda JKT wanapata watu wote.?Huu ni ujinga sasa, kuna haja gani ya vijana wanaokwenda jkt kujitolea halaf ajira zikitoka wanashindanishwa na wasioenda
Mkuu leta ushuhuda, naona electrical engineers kwenye mkekawanatoaga mara mojamoja
EMimi innojembe kiboko ya Itpersonal nimelamba asali asanteni kwa ushirikiano.....nnamengi ya kusema ila kwa uchache nseme 1.MUNGU 2.TIME 3.PATIENT 4.CONFIDENCE 5.UJANJA KWA KUCHANGAMKA
Hongera Sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mchapa kazi kila la kheri katika majukumu yako mkuu.Mimi innojembe kiboko ya Itpersonal nimelamba asali asanteni kwa ushirikiano.....nnamengi ya kusema ila kwa uchache nseme 1.MUNGU 2.TIME 3.PATIENT 4.CONFIDENCE 5.UJANJA KWA KUCHANGAMKA
Nielezee point namba 5 kaka
E
Hongera Sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mchapa kazi kila la kheri katika majukumu yako mkuu.
Amina mkuu🙏 na ikawe Ivo, inafurahisha Sana mkuu. Nimefurahi Sana kila kitu kinawezekanaAsanteeeee ulikua na Mimi bega kwa bega tangu mwanzo asanteeeee sana[emoji1488] nakutakia neema hii pia ifike kwako