Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jamani mimi naenda break kidogo.

Moyo wangu umejikuta una maumivu Mwaka jana sijafikisha malengo .

Sijui mwaka huu.

Niko overrated sana na kupata kazi serikali .

Usiku mwema.

Nitarudi nikipata kazi.

Naenda kupita goti hadi Mungu asikie kilio changu.

Oral 1.

Written 3.

Failed 2

Pass 1.

Category AFYA.
 
Mkuu tusichoke tuendelee kupambana, hilo la kupiga goti kulia na MUNGU nalo pia muhimu.

Moyo wangu umekuwa na maumivu sana.

Nashindwa kueleza mengi.

Ila kibinadamu inauma.

Mimi napiga goti namwachia Mungu kama kuna jina langu kwenye mafaili ya katibu lionekane .

Nimechoka kutoa pongezi kwa watu mimi lini?
 
Yani kila pdf huwa ninapitia nasema moyoni daa lini na mimi nitasoma jina langu! Ila yote namwachia MUNGU maana mimi nimechoka akili na mwili.
 
Kibinadamu inauma sana sana ni Ngumu kuielezea .

Kila siku unakuwa mtu wa kuchungulia mikeka ya watu jina lako haulioni inauma sana..

Kiukweli Tumwachie Mungu.

Hizi side hustle sitaki mwanangu hazipitie.
 
Back
Top Bottom