El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
hongera sana kaka..Namshukuru Mungu wa mbinguni, baada ya miaka Saba bila ajira, hatimae na mm leo nimelamba asali!!! Asante Mungu, Ahsante Wana jamii forum. Tusikate tamaa kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongera sana kaka..Namshukuru Mungu wa mbinguni, baada ya miaka Saba bila ajira, hatimae na mm leo nimelamba asali!!! Asante Mungu, Ahsante Wana jamii forum. Tusikate tamaa kabisa.
inakaa hadi miaka mi3..Hivi database inakaa zaidi ya Mwaka kumbe.
Hongera kaka Mungu akutangulie.Namshukuru Mungu wa mbinguni, baada ya miaka Saba bila ajira, hatimae na mm leo nimelamba asali!!! Asante Mungu, Ahsante Wana jamii forum. Tusikate tamaa kabisa.
Hongera sanaAlhamdulillah namimi leo nimetokea kwenye mkeka, msikate tamaa database inafanya kazi.
ni shiddahUmeme wanadonyoa donyoa khà,ila poa tuu kesho zamu yetuu
Hongera kwakua mtumishi na uvumilivuNamshukuru Mungu wa mbinguni, baada ya miaka Saba bila ajira, hatimae na mm leo nimelamba asali!!! Asante Mungu, Ahsante Wana jamii forum. Tusikate tamaa kabisa.
Jamani mimi naenda break kidogo.
Moyo wangu umejikuta una maumivu Mwaka jana sijafikisha malengo .
Sijui mwaka huu.
Niko overrated sana na kupata kazi serikali .
Usiku mwema.
Nitarudi nikipata kazi.
Naenda kupita goti hadi Mungu asikie kilio changu.
Oral 1.
Written 3.
Failed 2
Pass 1.
Category AFYA.
Moyo wangu umekuwa na maumivu sana.Mkuu tusichoke tuendelee kupambana, hilo la kupiga goti kulia na MUNGU nalo pia muhimu.
Kaka Tuna Mungu mwingi wa upendo atatukumbuka tu.siku nikija kupata kazi utumishi nitaandika kitabu kisichopungua page milioni mbili laki tano na hamsini na tano mia tano na hamsini na tano kasoro tano.sio kwa hili graride...
yaani kuna muda kuiona kada yako tu mbinde sasa mtu unajiuliza jina ntakuja kuliona leo kweliDah, leo kada yangu ndo hakuna hata mmoja!
ila kweli one day yes..Kaka Tuna Mungu mwingi wa upendo atatukumbuka tu.
Yani kila pdf huwa ninapitia nasema moyoni daa lini na mimi nitasoma jina langu! Ila yote namwachia MUNGU maana mimi nimechoka akili na mwili.Moyo wangu umekuwa na maumivu sana.
Nashindwa kueleza mengi.
Ila kibinadamu inauma.
Mimi napiga goti namwachia Mungu kama kuna jina langu kwenye mafaili ya katibu lionekane .
Nimechoka kutoa pongezi kwa watu mimi lini?
Kibinadamu inauma sana sana ni Ngumu kuielezea .Yani kila pdf huwa ninapitia nasema moyoni daa lini na mimi nitasoma jina langu! Ila yote namwachia MUNGU maana mimi nimechoka akili na mwili.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaAlhamdulillah namimi leo nimetokea kwenye mkeka, msikate tamaa database inafanya kazi.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaNamshukuru Mungu wa mbinguni, baada ya miaka Saba bila ajira, hatimae na mm leo nimelamba asali!!! Asante Mungu, Ahsante Wana jamii forum. Tusikate tamaa kabisa.
Ahsante Sana, japo mm Ni mdadaHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Ahsante MwifaHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya