Hongera sana mkuu.ulifanya lini?Alhamdulillah namimi leo nimetokea kwenye mkeka, msikate tamaa database inafanya kazi.
Hongera sana mkuuNamshukuru Mungu wa mbinguni, baada ya miaka Saba bila ajira, hatimae na mm leo nimelamba asali!!! Asante Mungu, Ahsante Wana jamii forum. Tusikate tamaa kabisa.
Neno "Mkuu" huwa tunalitumia kwa ujumla(kwa jinsia yeyote) sababu hatuwezi kutambua jinsia zetu kutokana na fake ID tunazotumia.Ahsante Sana, japo mm Ni mdada
Na huo ndiyo uhalisia.Kumbe ishu sio utumishi ni taasisi husika na uhitaji wa watumishi kwa haraka
Kuna watu wamefanya oral January 15, leo wameitwa kazini
Hongera Sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu. Hakika Mungu NI mwema.Namshukuru Mungu wa mbinguni, baada ya miaka Saba bila ajira, hatimae na mm leo nimelamba asali!!! Asante Mungu, Ahsante Wana jamii forum. Tusikate tamaa kabisa.
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu.Alhamdulillah wadau na mimi leo nimelamba asali,
Kweli wakati wa mungu ndio wakati sahihi [emoji120]
Let's believe one day yes.
[emoji1787]kwa muda nilokaa kitaa mpaka umeme wenyewe nimeusahau sometimes nahofia nisije nikalambishwa asali nikaenda kuchoma ofisi za watu uko au pengine kupigwa shoti nikafa.. [emoji1787] [emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3]mnaolamba asali mtupe mbinu za kivita jaman au kuna kakamati ka ufundi nyuma ya pazia maana wengine kuziona kada zetu tu mbinde nyie mnayaonaje majina yenu uko.. [emoji1787] [emoji1787]
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaAlhamdulillah wadau na mimi leo nimelamba asali,
Kweli wakati wa mungu ndio wakati sahihi [emoji120]
Let's believe one day yes.
Mkuu cha msingi USIKATE TAMAA, kukata tamaa ni sumu najua inauma sana.Jamani mimi naenda break kidogo.
Moyo wangu umejikuta una maumivu Mwaka jana sijafikisha malengo .
Sijui mwaka huu.
Niko overrated sana na kupata kazi serikali .
Usiku mwema.
Nitarudi nikipata kazi.
Naenda kupita goti hadi Mungu asikie kilio changu.
Oral 1.
Written 3.
Failed 2
Pass 1.
Category AFYA.
Hongera mkuu!Alhamdulillah namimi leo nimetokea kwenye mkeka, msikate tamaa database inafanya kazi.
Hongera sanaa mkuu!Namshukuru Mungu wa mbinguni, baada ya miaka Saba bila ajira, hatimae na mm leo nimelamba asali!!! Asante Mungu, Ahsante Wana jamii forum. Tusikate tamaa kabisa.
[emoji38][emoji38][emoji38], hatari hatari! Usikate tamaa Mhandisi.kwa muda nilokaa kitaa mpaka umeme wenyewe nimeusahau sometimes nahofia nisije nikalambishwa asali nikaenda kuchoma ofisi za watu uko au pengine kupigwa shoti nikafa.. [emoji1787] [emoji1787]
Pole Sana mkuu, Nakutakia mafanikio. Na wewe ukapate.Kibinadamu inauma sana sana ni Ngumu kuielezea .
Kila siku unakuwa mtu wa kuchungulia mikeka ya watu jina lako haulioni inauma sana..
Kiukweli Tumwachie Mungu.
Hizi side hustle sitaki mwanangu hazipitie.
Hongera sana mkuu!!Alhamdulillah wadau na mimi leo nimelamba asali,
Kweli wakati wa mungu ndio wakati sahihi [emoji120]
Let's believe one day yes.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Aaa mkuu!! Kitambulisho utakipatia wapi?hii ni mara ya mwisho sasa nisipoona jina naenda kukata tiketi naenda kuchukua barua hata ya afisa mifugo naanza kazi haiwezekani mikeka Terabyte mbili nisione jina...
hii ni mara ya mwisho sasa nisipoona jina naenda kukata tiketi naenda kuchukua barua hata ya afisa mifugo naanza kazi haiwezekani mikeka Terabyte mbili nisione jina...