Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Hongera jmnii,kila la kheri mkuuMungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera jmnii,kila la kheri mkuuMungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini
Sina hata Cha kusema🥴🥴Jmn PSRS page 4 tu jmn,uwiii mtatuuua
Hongera sana mkuu umesubiri sanaaa, I feel happy for ur placementMungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini
Hongera Sana Mkuu Mungu akutangulie kwenye majukumu yako na akuongoze vyema.Mungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini
Muda wa kupanda kimbinyiko Sasa Kwa hisani ya injinia umeme El marabioshMungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini
asante sana mkuuMkuu hongera sanaaa the wait is over
asante sana mkuuHongera Sana Mkuu Mungu akutangulie kwenye majukumu yako na akuongoze vyema.
asante sana mkuuHongera jmnii,kila la kheri mkuu
nitapanda kimbinyiko kwa niaba yake mkuuMuda wa kupanda kimbinyiko Sasa Kwa hisani ya injinia umeme El marabiosh
Hongera Sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu.Mungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini
Hongera sana.dah unattached wenzio.Mungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini
hongera sana mwanangu.kwa hiyo ndo usharudisha kadi ya chama cha ujobless jaman..Mungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini
shukrani sana mkuuHongera Sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu.
asante sana mkuu nawaombea wote humu tutapata tuongeze juhudi tusikate tamaaHongera sana.dah unattached wenzio.
🤣 🤣 yaani mpaka muda huu mimi ningekua theophili ningekua tayari kwenye kimbinyiko la usiku lile karibu na dereva pale uelekeo Dom town..Muda wa kupanda kimbinyiko Sasa Kwa hisani ya injinia umeme El marabiosh
asante sana mkuu na wewe unakwenda kupata kazi muda si mrefuhongera sana mwanangu.kwa hiyo ndo usharudisha kadi ya chama cha ujobless jaman..
😂 😂 😂 zamu yako inakuja mkuu🤣 🤣 yaani mpaka muda huu mimi ningekua theophili ningekua tayari kwenye kimbinyiko la usiku lile karibu na dereva pale uelekeo Dom town..
amna noma kaka na iwe hivyo..asante sana mkuu na wewe unakwenda kupata kazi muda si mrefu