Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hili jukwaa lilivyokua linaanza mimi ni mmoja mfuatiliaji mkubwa sana.
Nilikua private sector sijawahi ku_attend interview za utumishi.
Interview yangu ya Kwanza ilinisaidia kupata kazi.
Watu wengi huomba lakini wengi hawaendi kwenye interview za utumishi labda kama zile za taasisi kubwa kubwa.
Mchagua jembe si mkulima.
 
Pambaneni leo utakosa kesho utapata
 
Back
Top Bottom