Mbanti
JF-Expert Member
- Apr 29, 2017
- 944
- 1,730
Yaaan kumbe na ww unakutwa na changamoto ya hivi.Jamii forum sijui wamekuja kuwaje, kuna baadhi ya nyuzi ukifungua kupitia app yao inagona inasema sever error, ina taka kuingia kwa browser. Huu ni uzi mmojawapo yupo anaepata changamoto kama hii??
Nilidhan labda kuna namna nmekorokocha simu ndo ikaniletea hivi.
Kwanza hata pics huwa haziwezi kufunguliwa kwa app had kwenye browser. Sasa naona hata uzi wanasema tumia browser🥲