Yaaan kumbe na ww unakutwa na changamoto ya hivi.Jamii forum sijui wamekuja kuwaje, kuna baadhi ya nyuzi ukifungua kupitia app yao inagona inasema sever error, ina taka kuingia kwa browser. Huu ni uzi mmojawapo yupo anaepata changamoto kama hii??
Hahahahah,mhandisi mwenzangu ulifanya oral ipi wewe ukute ndo tunaisubiria wote hapa hahahahha🤣 🤣 yaani mpaka muda huu mimi ningekua theophili ningekua tayari kwenye kimbinyiko la usiku lile karibu na dereva pale uelekeo Dom town..
Ulifanya lini mkuu?Hawa Psrs si watoe tangazo lingine asee🤨 maana saili iliyoisha nilikandwaaa si kwa maswali yaleee🤕
Juzi tu hapa tarehe 20Ulifanya lini mkuu?
Si kuna ajira alizosem wazir Simbachawene zitamwagwa almost elfu 44 kunzia mwezi huu mpk wa 7..so tusubir mambo ayo tuone,maana baada ya mwaka 2025 naona ngma itakua ngumu,watu washaingia madarakani apo 2026[emoji50][emoji100]Hawa Psrs si watoe tangazo lingine asee[emoji2955] maana saili iliyoisha nilikandwaaa si kwa maswali yaleee[emoji856]
Watoe mamlaka ya Taasisi kuajiri yenyewe irudi kama ilivyokuwa Utumishi...Si kuna ajira alizosem wazir Simbachawene zitamwagwa almost elfu 44 kunzia mwezi huu mpk wa 7..so tusubir mambo ayo tuone,maana baada ya mwaka 2025 naona ngma itakua ngumu,watu washaingia madarakani apo 2026[emoji50][emoji100]
Yaani ni kupambana sana, kwa huu mwaka bila hivo itakua majanga huko mbeleSi kuna ajira alizosem wazir Simbachawene zitamwagwa almost elfu 44 kunzia mwezi huu mpk wa 7..so tusubir mambo ayo tuone,maana baada ya mwaka 2025 naona ngma itakua ngumu,watu washaingia madarakani apo 2026[emoji50][emoji100]
Wahandisi wa umeme ,kazi tunayoHahahahah,mhandisi mwenzangu ulifanya oral ipi wewe ukute ndo tunaisubiria wote hapa hahahahha
mie nilifanyaga ya mwezi wa sita ile nyingine ndio naitegemea nyingine ilikua ya kinondoni ila ile nilijibu pumba nakiri kabisa nilikandwa live bila chenga🤣🤣.vp wewe mwenzangu ulifanya ipi..???Hahahahah,mhandisi mwenzangu ulifanya oral ipi wewe ukute ndo tunaisubiria wote hapa hahahahha
Nyingine ipi ?mie nilifanyaga ya mwezi wa sita ile nyingine ndio naitegemea nyingine ilikua ya kinondoni ila ile nilijibu pumba nakiri kabisa nilikandwa live bila chenga[emoji1787][emoji1787].vp wewe mwenzangu ulifanya ipi..???
Mnashindwa kufuatilia mpate haki yenu ya kufanya usaili?Halafu psrs kuna tabia mbovu ya kureject applications za wahandisi kwa kutoa sababu ya kwamba cheti cha Registration cha ERB cha graduates Engineer kimeisha muda wake ,na wakati ERB hicho cheti huwa hakiwi renewed
Upumbavu Sana ,
Mi Ile interview ya Renewable Energy sikuhudhuria kwa sababu hii hii
Kiufupi nimefanya interview moja tu ya utumishi ,ile ya mwezi wa sita mwaka jana
Na hata hiyo interview ya mwezi wa sita kuna Electrical engineers wengi nimesoma nao majina yao yalikatwa kwa sababu hii ya kipuuzi
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Nilifanya ya mwez wa 6 ile mda and lga,sasa sijui wameshakamilika watu 30 au bado,yaan na wanavyoita kwa Maringo wananivuruga tumie nilifanyaga ya mwezi wa sita ile nyingine ndio naitegemea nyingine ilikua ya kinondoni ila ile nilijibu pumba nakiri kabisa nilikandwa live bila chenga🤣🤣.vp wewe mwenzangu ulifanya ipi..
Omba extension for GE certificate kutoka erb,then attach hiyo barua na chet chako kilichoexpire kweny account yako sehemu ya professional certificate,hapo kwisha kaz huwezi kosa interviewHalafu psrs kuna tabia mbovu ya kureject applications za wahandisi kwa kutoa sababu ya kwamba cheti cha Registration cha ERB cha graduates Engineer kimeisha muda wake ,na wakati ERB hicho cheti huwa hakiwi renewed
Upumbavu Sana ,
Mi Ile interview ya Renewable Energy sikuhudhuria kwa sababu hii hii
Kiufupi nimefanya interview moja tu ya utumishi ,ile ya mwezi wa sita mwaka jana
Na hata hiyo interview ya mwezi wa sita kuna Electrical engineers wengi nimesoma nao majina yao yalikatwa kwa sababu hii ya kipuuzi
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile
mmh kumbe tupo wengi tuendelee kumwomba mungu tu..Nilifanya ya mwez wa 6 ile mda and lga,sasa sijui wameshakamilika watu 30 au bado,yaan na wanavyoita kwa Maringo wananivuruga tu
Ameen,wakati wetu utafikammh kumbe tupo wengi tuendelee kumwomba mungu tu..
Ulitakiwa kuwapigia simu PSRS na kuwaelewesha mbona ungewekwa kwenye majina ya nyongeza na ungefanya usailiHalafu psrs kuna tabia mbovu ya kureject applications za wahandisi kwa kutoa sababu ya kwamba cheti cha Registration cha ERB cha graduates Engineer kimeisha muda wake ,na wakati ERB hicho cheti huwa hakiwi renewed
Upumbavu Sana ,
Mi Ile interview ya Renewable Energy sikuhudhuria kwa sababu hii hii
Kiufupi nimefanya interview moja tu ya utumishi ,ile ya mwezi wa sita mwaka jana
Na hata hiyo interview ya mwezi wa sita kuna Electrical engineers wengi nimesoma nao majina yao yalikatwa kwa sababu hii ya kipuuzi
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Kumbe nilikuwa sijui nilifiki n kutuma barua tu na interviewmie nilijuaga ukimaliza chuo ndio kazi imeisha kumbe utumishi nao wana degree yao.. [emoji119]