Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari wakuu,
Hivi inachukua muda gani baada ya kufanya oral kuwa na mabadiliko kwenye App na Web ya Selected for oral na Not selected for oral.

Samahani wakuu.
 
Sidhan km kuna official time,ngj waje wny experience zaid,kwan ww baada ya kufanya oral,kuna changes zozote umeziona?
Kwenye App sikuwahi kuangalia ndio leo nimeangalai baada ya Oral ya Jana.

Kwenye web ilikuwa hiyo selected for oral baada ya written ya Jmosi.
 
Kweny app wameandikaje
[emoji23]yani ukikosa kazi unajipa kazi adi ya kuangalia ile status,basi mm nmejikuta naangalia ac ya rafiki angu aliyepata kazi ile status nafananisha na yangu..nkakuta ile status ya aliyepata kazi ile ratiba ya written interview inaondoka inabaki ya oral tu yani basi tu...nkimaliza kaz zngu lazma niingie PSRS nazoom adi pics mara nisome jarida basi tu kupoteza time umo..
 
Selected for oral
I think bdo mapema lkn zitachange tu..ila kiukwel utumish hawako organised bdo wanatuumiza kukaa kila muda kufatilia website yao..kma matokeo ya necta kuna official time ya kutoa matokeo basi ata hawa wangejarbu kufanya ivo..ata km placement bdo atleast m2 unajijua kma unasubir placement au umefail au utakuwep kanzidata.
 
Mambo ya status yanachanganya Sana ukiyafatilia kila mtu Ana majibu yake hata kwa waliopata placement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…