Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Asante sanaNawatakieni maandalizi mema ya mikando iliyopo mbeleni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sanaNawatakieni maandalizi mema ya mikando iliyopo mbeleni.
Sidhan km kuna official time,ngj waje wny experience zaid,kwan ww baada ya kufanya oral,kuna changes zozote umeziona?Habari wakuu,
Hivi inachukua muda gani baada ya kufanya oral kuwa na mabadiliko kwenye App na Web ya Selected for oral na Not selected for oral.
Samahani wakuu.
Kwenye App sikuwahi kuangalia ndio leo nimeangalai baada ya Oral ya Jana.Sidhan km kuna official time,ngj waje wny experience zaid,kwan ww baada ya kufanya oral,kuna changes zozote umeziona?
Kweny app wameandikajeKwenye App sikuwahi kuangalia ndio leo nimeangalai baada ya Oral ya Jana.
Kwenye web ilikuwa hiyo selected for oral baada ya written ya Jmosi.
[emoji23]yani ukikosa kazi unajipa kazi adi ya kuangalia ile status,basi mm nmejikuta naangalia ac ya rafiki angu aliyepata kazi ile status nafananisha na yangu..nkakuta ile status ya aliyepata kazi ile ratiba ya written interview inaondoka inabaki ya oral tu yani basi tu...nkimaliza kaz zngu lazma niingie PSRS nazoom adi pics mara nisome jarida basi tu kupoteza time umo..Kweny app wameandikaje
Selected for oralKweny app wameandikaje
I think bdo mapema lkn zitachange tu..ila kiukwel utumish hawako organised bdo wanatuumiza kukaa kila muda kufatilia website yao..kma matokeo ya necta kuna official time ya kutoa matokeo basi ata hawa wangejarbu kufanya ivo..ata km placement bdo atleast m2 unajijua kma unasubir placement au umefail au utakuwep kanzidata.Selected for oral
Mambo ya status yanachanganya Sana ukiyafatilia kila mtu Ana majibu yake hata kwa waliopata placementI think bdo mapema lkn zitachange tu..ila kiukwel utumish hawako organised bdo wanatuumiza kukaa kila muda kufatilia website yao..kma matokeo ya necta kuna official time ya kutoa matokeo basi ata hawa wangejarbu kufanya ivo..ata km placement bdo atleast m2 unajijua kma unasubir placement au umefail au utakuwep kanzidata
Kweli mkuuMambo ya status yanachanganya Sana ukiyafatilia kila mtu Ana majibu yake hata kwa waliopata placement
Yaan sjui wameshapata kaziWatu mmekaa kimya baada ya mikeka ya juzi.....
Tupo wengi zinaexpireHaya bana Utumishi naombeni mnipe received nyingine Oral 1 inaenda kuexpire .
Hizo ajira elfu 44 alizosema Simbachawene zinatoka lini?Tupo wengi zinaexpire
Watu wamejikatia TamaaYaan sjui wameshapata kazi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]we Acha tu ila bdo tunasubir mkeka..kuna 1 mm nasubir tulifany Jan 15 mwak huu bdo mkeka haujatokaWatu mmekaa kimya baada ya mikeka ya juzi.....
Muhimu kujiandaa na kumtumaini Mungu. Last year October tuliitwa watu 1100+ kweny nafasi 2 . Tuliofanya Ni 500+ na oral tuliingia 23 na Kwa kudra za Allah katika Hao wawili Nami nikapata Kazi.EASTC - EXAMINATION OFFICER II-nafasi 1
Wameitwa watu 1098[emoji16][emoji16]
Uliaga kwenuMuhimu kujiandaa na kumtumaini Mungu. Last year October tuliitwa watu 1100+ kweny nafasi 2 . Tuliofanya Ni 500+ na oral tuliingia 23 na Kwa kudra za Allah katika Hao wawili Nami nikapata Kazi.
Na inakula Bando Ile websiteniingie PSRS nazoom adi pics