Nishapita mkuu, walikuwa bado hawajamaliza kuwekaAisee noma sana kaka.
Hongera sana mkuu, ikawe kheriSelected for oral interview HESLB
Not Selected for oral interview NAOT
Nishapita mkuu, uje na mwavuli please[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]One day yes bro
Hongera sana mkuuNashukuru nimekuwa Selected for Oral interview-HESLB
Nishapita mkuu, walichelewesha kuwekaPole mkuu naamini mda wako utakuja, dah maisha aya.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Hongera bro nipo na furaha kama nakujua vile. Yakawe mapambano mema katika hii hatua inayofuata.Nishapita mkuu, walikuwa bado wanaendelea kutoa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hongera sanaa Mwifwa
tuanze maandalizi ya oral kiongozi 👏👏👏👏Mkuu nimepita, namshukuru Mungu kwa hatua.
Walichelewesha kuniwekea matokeo, nikahitimisha, asubuhi ya leo nikaangalia profile nikakuta wameniwekea
Thanks so much prok we are together,God will make a way, am praying for you
Bado we are waiting for itMDA zenu bado kuitwa?
Okay, God will make a wayBado we are waiting for it
Am so happy for you utafkr nakujua vile,sema ww ni maarufu hili jukwaa.Mungu akufanyie wepesi. Hii inanipa moyo hata mmHABARI ZA HIVI PUNDE:
Hatimaye kipofu kaona Mwezi, hii ni sherehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Selected for Oral Interview.
Kumbe kunakuwaga na raha hivi, halafu hamsemi...
wizy niazime suti yako nikawande tena kwenye hatua ya mwisho.
Prok usisahau kuja na mwavuli ili suti ya wizy isije ikapauka na joto bure[emoji3][emoji3][emoji3]
Naomba kuuliza hivi afsa biashara ndo hatuitwi tena ama mana sielewBado Mimi tu MDAs & LGAs kalata ya mwisho dah.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Amen thanks so much my dear, we are still learning. Hope tutafika na kumake legacyOkay, God will make a way
Hongera mkuu kwa hatua, tupambane kwa ajili ya hatua hii ya mwsho.Mkuu nimepita, namshukuru Mungu kwa hatua.
Walichelewesha kuniwekea matokeo, nikahitimisha, asubuhi ya leo nikaangalia profile nikakuta wameniwekea
Ila hili la kunicheleweshea ilihali Prok kapewa matokeo tangu jana, imenistress sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kiongozi hongera sana umeona nilikwambia angalia mzigo huu lazima uende oral hasa soma sasa ukawakande
Ahsante sana kiongozi, tuendelee kupambanaNimejikuta nimefurah kwa ajili yako brooo!!!marufuku kukata tamaa
Ahsante kwa muongozo, naufanyia kaziFaster sana muanze kupean experience ya kupamban na oral.
Sahau kama umepita hapo kwny Written Hasira na Mipango yote Ihamie namna ya Kujibu na Kutoboa Oral.
Lazima wadau muingie kwny Pdf la placement Au Database.