Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

HABARI ZA HIVI PUNDE:

Hatimaye kipofu kaona Mwezi, hii ni sherehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Selected for Oral Interview.

Kumbe kunakuwaga na raha hivi, halafu hamsemi...

wizy niazime suti yako nikawande tena kwenye hatua ya mwisho.

Prok usisahau kuja na mwavuli ili suti ya wizy isije ikapauka na joto bure[emoji3][emoji3][emoji3]
Am so happy for you utafkr nakujua vile,sema ww ni maarufu hili jukwaa.Mungu akufanyie wepesi. Hii inanipa moyo hata mm
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kiongozi hongera sana umeona nilikwambia angalia mzigo huu lazima uende oral hasa soma sasa ukawakande
Ila hili la kunicheleweshea ilihali Prok kapewa matokeo tangu jana, imenistress sana.

Ngoja nianze kupanga mistari ya broken za ngeli, kitaeleweka huko huko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Faster sana muanze kupean experience ya kupamban na oral.
Sahau kama umepita hapo kwny Written Hasira na Mipango yote Ihamie namna ya Kujibu na Kutoboa Oral.
Lazima wadau muingie kwny Pdf la placement Au Database.
Ahsante kwa muongozo, naufanyia kazi
 
Back
Top Bottom