Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ingia hiyo link fanya registration. Kila kitu utakamilisha online huko.
 
watu wanakufuru jamani yaani mtu unalipiga teke buyu la asali nakati kina el marabiosh tunalikeshea mtandaoni [emoji1787] [emoji1787]
Hapo wanasemana watoto wao...
Mtu wa hali ya chini kwel anàpata wap nguvu ya kuleta jeuli hiyo yakugoma kwenda kuchukua barua...
Eeeh Mungu sikia kilio chetu
 
Utumishi nadhani kuna Ideas moja wamekuja Mayo nimeigundua.

Wanakaa muda mrefu bila mkeka ila wakitoa ajira wanatoa kama mitatu nayo inakuwa na watu 100+ kila mmoja baada ya hapo kimya kirefu.

Ila wanachonishangaza wanaita wengi watu wengi sana interview sikuizi
 
Daah sjui mikeka ijayo lini,hope soon tu ,I wish niwemo kwnye next Pdf ndo dua yang every night nitokee kwny pdf na mm[emoji17].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…