El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
vihesabu vya kipuuzi tu usiogope usome na tense sasa maana mpaka ngeli imo yaani vurugu tupuDuuuh mbna hatar kumbe ni kulekule kwenye kipeuo
ndio siku zao hizi..Habari Leo Tutarajie Mkeka au Tumzike Mheshimiwa kwanza.
Inamaana mpaka sasa Taasisi bado zimegoma kurudi Utumishi ....ndio siku zao hizi..
mpaka rais atoe amri..Inamaana mpaka sasa Taasisi bado zimegoma kurudi Utumishi ....
jmos inakuwaga na asilimia nyingi ya kupata mkeka mzito ngoja tusubiri mida ya IT kufanya mamboHabari Leo Tutarajie Mkeka au Tumzike Mheshimiwa kwanza.
Duh....!!!!Inaamaa waliofanya TRA Utumishi database yao wame delete....mpaka rais atoe amri..
itakua..Duh....!!!!Inaamaa waliofanya TRA Utumishi database yao wame delete....
[emoji21][emoji21]itakua..
wanaweza kuwapangia taasisi nyingine kupitia database maana hamna mwenye uhakika utumishi hawaeleweki.[emoji21][emoji21]
Oyaaa[emoji3]mie nilifanyaga ya mwezi wa sita ile nyingine ndio naitegemea nyingine ilikua ya kinondoni ila ile nilijibu pumba nakiri kabisa nilikandwa live bila chenga[emoji1787][emoji1787].vp wewe mwenzangu ulifanya ipi..???
nambieeOyaaa[emoji3]
Toka nikandwe pale CIVE june MDA LGA mwaka jana nimeamua kuingia VETA kipawa kusoma graphix. Sio poa mazee[emoji3][emoji24]nambiee
🤣 🤣 popote kambi mzee mie mwenyewe nasubiri pdf kama nne hivi nisipojiona naenda zangu veta kusoma hotel management..Toka nikandwe pale CIVE june MDA LGA mwaka jana nimeamua kuingia VETA kipawa kusoma graphix. Sio poa mazee[emoji3][emoji24]
Daah inawazisha sana mkuu[emoji3] na muda unayoyoma mazee many yrs no job huu ni uchwara[emoji1787] [emoji1787] popote kambi mzee mie mwenyewe nasubiri pdf kama nne hivi nisipojiona naenda zangu veta kusoma hotel management..
hatari yaani watu tunafukuzia pdf mpaka kizunguzungu..Daah inawazisha sana mkuu[emoji3] na muda unayoyoma mazee 4yrs no job huu ni utani
Hongera kwa hayo maamuzi umefanya vyema kuongeza ujuziToka nikandwe pale CIVE june MDA LGA mwaka jana nimeamua kuingia VETA kipawa kusoma graphix. Sio poa mazee[emoji3][emoji24]
Unakata tamaa mapema sana kaka.Toka nikandwe pale CIVE june MDA LGA mwaka jana nimeamua kuingia VETA kipawa kusoma graphix. Sio poa mazee[emoji3][emoji24]
Mungu ni mwema mkuu! Hongera sanaNamshukuru Mungu wa mbinguni, baada ya miaka Saba bila ajira, hatimae na mm leo nimelamba asali!!! Asante Mungu, Ahsante Wana jamii forum. Tusikate tamaa kabisa.