Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari zenu wadau (Waombaji Ajira)?
Naomba kupata hints za mfanano wa maswali ya ‘Written Interview’ kada ya Planning Officer II Mwajiri: OUT
Asante.
 
Mimi alwatan innojembe niko bize na maswala ya kazi saivi ila nawasihi msiache kwenda kwenye interview,msiache kuapply kazi,msiache kujiweka fresh kwa kusoma research na kujipanga vyema....amini niwmbieni UTUMISHI 95% hakuna ubaguzi wala ukabila kama uko vyema sawa na sifa zao nafasi unapata.....mimi nlikutana na watu wengi na mmoja alikua jinsia KE” tena anajitolea taasisi hyohyo tunayoenda kufanya usaili kwa maana baadhi ya ma interview walikua wanamfahamu vyema Yule dada ila katika ushindani katika interview yule dada akufanikiwa (siwezi sema alifeli Bali naamini uwenda yuko database muda wake ulikua aujafika kwa sasa)

KIKUBWA NI MAANDALIZI, nikipata muda mzuri ntashusha hints nnazozifahamu kiasi chake ili tu share
 
Mimi na received 3 VETA, na 1 TRC ,oral hadi.sasa na moja MDA na LGA.
Shusha hints mkuu.

Sent from my Infinix X6525 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mitusi yote hiyo tunayowatukana si tunazifukuzia mbali baraka.
Mungu atusamehe n hasira zao tu jobless[emoji1787][emoji1787]..zaman mtu ulikua ukimuona yko 25 hana kazi au hajaoa na kuolewa sijui tulikua tunaona wamekwama wap,this time is ours...ndo mana life la ss ivi hatutakiw kujudge sana,kiufup Mungu atuhurumie 2 hali n mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…