Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Baada ya kukaa database miez nane na kidgo Mung ni mwema [emoji120] na mm pia nmelamba asali.

Wakuu hakuna haja ya kukata tamaa utumishi wako real.

Kwa kifupi nlkuwa nishaanza kukata tamaa maana ckutokea kwenye placement za mwanzo nikajua bye bye baba Jane.

Leo niko na harakati zangu nimepigiwa cmu nying Sanaa za hongera.

Utumishi hakuna connection..tuendelee kuongeza received na tusiache kwenda interview.
Mkuu received zina athari gani? (Zikiwa nyingi faida yake nini?). HONGERA KWA KULAMBA ASALI
 
Mkuu iyo sio bahati, kama ingekuwa hakutuma maombi, hakuhudhuria interview yeyote yaan kiufupi hakushiriki kwenye huo mchakato kivyovyote vile, ghafla tu akajikuta kwenye pdf jina lake lipo hapo iyo ndo bahati sasa, tuiite iyo ni jitihada zake yeye zimempelekea kulamba asali. Tuongeze jitihada kuongeza izo received na kuhudhuria izo interview bila kuchoka
Mkuu, bila shaka Umeelewa point yangu labla tuu uwe umekaza kichwa.

Ndo maana nikasema kwenye kufanikiwa sio kupambana tuu hata bahati nikimaanisha pia kupambana inatakiwa.
 
Hapana, hana hoja.

Jiulize, angekosa asali angesema hvy.?

Tukubali tuu kwenye kufanikiwa sio kupambana tuu hata bahati pia inahitajika, hvy wakati wake ulikuwa umeshafika na sio amepata asali kwa alichokisema.

CC mavumbamakasha

Au tumuulize huyo innojembe amefanya interview ngapi kwenye maisha yake sio tuu za utumishi hata za taasisi nyingine na ajiulize ni kwann amepata wakati huu.?

Tunatofautiana kimawazo kiufupi nimeshafanya interview mbalimbali zipo nlizofeli na zipo nlizofaulu kwa baadhi ya sekta zenye mikataba ya muda flani ila izo hints sijazichambua vyema kwa kua ninakua bize ila nliziweka kwa ufupi ili anaenda kwenye interview ivi soon azichakate mwenyewe kabla ya mimi kuja kuzielezea...... (niwarudishe nyuma kidogo) mimi kwa baadhi ya interview nlizowahi kufeli chanzo kilikua ni kukosa kitu kimoja wapo katika vile nlivo mention apo kuna interview nyingne nlijibu vizuri ila nlikosa SILENCE ile natoka chumba cha usaili nkamwaga possible kwa wadau I think nlieweza kuwarahisishia wadau mzigo, au sometimes unaweza ongea na we zako ukataja udhaifu wako watu wakautumia

Kikubwa nachotaka kukisema hapa kuusu “BAHATI” iyo ni ishu ambayo ni very SPIRITUAL uwezi kujijua kama una bahati au LA! Kwahyo ili tuseme unabahati ni lazima JITIHADA ianze na swala la “MUDA SAHIHI”. ni swala la NADHARIA kwahyo hakuna anaeenda kwenye interview akiwa na akili kua anaenda KUBAHATIKA au NDO MUDA SAHIHI kwahyo ili haya mambo mimi naweza kuyaita FINAL RESULTS huja baada ya kufaulu au kufeli MAANA KUNA WATU WANAMALIZA CHUO LEO KESHO WANAAPPLY THEN KESHO KUTWA INTERVIEW NA WANAFAULU KUINGIA KAZINI hapo unaweza kusema ni bahati sasa kwanini uyu jobless Aliekaa miaka 7 mtaani akiwa na interview 8 ajapata BAHATI HIYO?????kikubwa ni kuzingatia ivo nilivotaja kwa kuongezea vyako unavoviamini kwa mfano nikisema CONFIDENCE means umo ndani kunakua na FACIAL EXPRESSION,BODY LANGUAGE,DRESSING,VOICE TONE,LANGUAGE GRAMMATICAL ivi vyote viko fulfilled within CONFIDENCE

NKIPATA time ntakuja na NONDO ZAIDI ila kama watu wote wakivizingatia hivi kitakachotenganisha ushindi ni utofauti wa mtu 1 na mwingine vitu kama experience,umri,jinsia,utimamu wa mwili na akili

ASANTENI
 
Kikubwa nachotaka kukisema hapa kuusu “BAHATI” iyo ni ishu ambayo ni very SPIRITUAL uwezi kujijua kama una bahati au LA! Kwahyo ili tuseme unabahati ni lazima JITIHADA ianze na swala la “MUDA SAHIHI”. ni swala la NADHARIA kwahyo hakuna anaeenda kwenye interview akiwa na akili kua anaenda KUBAHATIKA au NDO MUDA SAHIHI kwahyo ili upate izi final result huja baada ya kufaulu au kufeli ila kikubwa ni kuzingatia ivo nilivotaja made kuongezea vyako unavoviamini kwa mfano nikisema CONFIDENCE means umo ndani kunakua na FACIAL EXPIRATION,BODY LANGUAGE,DRESSING,VOICE TONE,LANGUAGE GRAMMATICAL ivi vyote viko fulfilled within CONFIDENCE

NKIPATA time ntakuja na NONDO ZAIDI ila kama watu wote wakivizingatia hivi kitakachotenganisha ushindi ni utofauti wa mtu 1 na mwingine vitu kama experience,umri,jinsia,utimamu wa mwili na akili

ASANTENI
Nakubali mkuu
 
Tunatofautiana kimawazo kiufupi nimeshafanya interview mbalimbali zipo nlizofeli na zipo nlizofaulu kwa baadhi ya sekta zenye mikataba ya muda flani ila izo hints sijazichambua vyema kwa kua ninakua bize ila nliziweka kwa ufupi ili anaenda kwenye interview ivi soon azichakate mwenyewe kabla ya mimi kuja kuzielezea...... (niwarudishe nyuma kidogo) mimi kwa baadhi ya interview nlizowahi kufeli chanzo kilikua ni kukosa kitu kimoja wapo katika vile nlivo mention apo kuna interview nyingne nlijibu vizuri ila nlikosa SILENCE ile natoka chumba cha usaili nkamwaga possible kwa wadau I think nlieweza kuwarahisishia wadau mzigo, au sometimes unaweza ongea na we zako ukataja udhaifu wako watu wakautumia

Kikubwa nachotaka kukisema hapa kuusu “BAHATI” iyo ni ishu ambayo ni very SPIRITUAL uwezi kujijua kama una bahati au LA! Kwahyo ili tuseme unabahati ni lazima JITIHADA ianze na swala la “MUDA SAHIHI”. ni swala la NADHARIA kwahyo hakuna anaeenda kwenye interview akiwa na akili kua anaenda KUBAHATIKA au NDO MUDA SAHIHI kwahyo ili haya mambo mimi naweza kuyaita FINAL RESULTS huja baada ya kufaulu au kufeli MAANA KUNA WATU WANAMALIZA CHUO LEO KESHO WANAAPPLY THEN KESHO KUTWA INTERVIEW NA WANAFAULU KUINGIA KAZINI hapo unaweza kusema ni bahati sasa kwanini uyu jobless Aliekaa miaka 7 mtaani akiwa na interview 8 ajapata BAHATI HIYO?????kikubwa ni kuzingatia ivo nilivotaja kwa kuongezea vyako unavoviamini kwa mfano nikisema CONFIDENCE means umo ndani kunakua na FACIAL EXPRESSION,BODY LANGUAGE,DRESSING,VOICE TONE,LANGUAGE GRAMMATICAL ivi vyote viko fulfilled within CONFIDENCE

NKIPATA time ntakuja na NONDO ZAIDI ila kama watu wote wakivizingatia hivi kitakachotenganisha ushindi ni utofauti wa mtu 1 na mwingine vitu kama experience,umri,jinsia,utimamu wa mwili na akili

ASANTENI
Saaafi sana,HUna baya na mtu mkuu, you are welcome,ni jambo jema kushare knowledge na nduguzo
 
Wanafeli oral wenye degree za human resources, ishu bahati tu sababu watu wanajua sana vitu
 
naskia ili upate kazi utumishi inabidi uapply ukiwa uchi.mliopata kazi uko mnaliongeleaje hilo ni kweli na sie tusaule au
Sio kweli bana…kama mjadala unavyoendelea hapo juu, cha muhimu ni kujifanyia self-evaluation, kipi unafanya vizuri na kipi unafanya below standard na kinaitajika katika kshinda interview, mwingine confidence mwengine content ya material so ujue una improve vipi..ila kwa kuongezea pia general mfano kwenye oral awa wanaokua kwenye panel kabla hamjaingia wanawapa hints kazaa za kuzingatia kama kuongea kingereza tu usichanganye na kiswahili pia kuwa calm kiwachukulia wao ni watu wa kawaida so ujibu maswali ukiwa calm mana ukipanic uatashindwa kutoa kizuri ulicho nacho, pia kama ukiona swali ulijui useme skip ili usipoteze muda wao utakuja kulijibu badae…hapo kwenye kingereza inabidi ujita pronounciation iliyo clear, all in all self-evaluation ni muhimu kujua unaitaji u improve kipi
 
mie nikajua labda wenzetu wanakamati zao za ufundi
 
Back
Top Bottom