Tunatofautiana kimawazo kiufupi nimeshafanya interview mbalimbali zipo nlizofeli na zipo nlizofaulu kwa baadhi ya sekta zenye mikataba ya muda flani ila izo hints sijazichambua vyema kwa kua ninakua bize ila nliziweka kwa ufupi ili anaenda kwenye interview ivi soon azichakate mwenyewe kabla ya mimi kuja kuzielezea...... (niwarudishe nyuma kidogo) mimi kwa baadhi ya interview nlizowahi kufeli chanzo kilikua ni kukosa kitu kimoja wapo katika vile nlivo mention apo kuna interview nyingne nlijibu vizuri ila nlikosa SILENCE ile natoka chumba cha usaili nkamwaga possible kwa wadau I think nlieweza kuwarahisishia wadau mzigo, au sometimes unaweza ongea na we zako ukataja udhaifu wako watu wakautumia
Kikubwa nachotaka kukisema hapa kuusu “BAHATI” iyo ni ishu ambayo ni very SPIRITUAL uwezi kujijua kama una bahati au LA! Kwahyo ili tuseme unabahati ni lazima JITIHADA ianze na swala la “MUDA SAHIHI”. ni swala la NADHARIA kwahyo hakuna anaeenda kwenye interview akiwa na akili kua anaenda KUBAHATIKA au NDO MUDA SAHIHI kwahyo ili haya mambo mimi naweza kuyaita FINAL RESULTS huja baada ya kufaulu au kufeli MAANA KUNA WATU WANAMALIZA CHUO LEO KESHO WANAAPPLY THEN KESHO KUTWA INTERVIEW NA WANAFAULU KUINGIA KAZINI hapo unaweza kusema ni bahati sasa kwanini uyu jobless Aliekaa miaka 7 mtaani akiwa na interview 8 ajapata BAHATI HIYO?????kikubwa ni kuzingatia ivo nilivotaja kwa kuongezea vyako unavoviamini kwa mfano nikisema CONFIDENCE means umo ndani kunakua na FACIAL EXPRESSION,BODY LANGUAGE,DRESSING,VOICE TONE,LANGUAGE GRAMMATICAL ivi vyote viko fulfilled within CONFIDENCE
NKIPATA time ntakuja na NONDO ZAIDI ila kama watu wote wakivizingatia hivi kitakachotenganisha ushindi ni utofauti wa mtu 1 na mwingine vitu kama experience,umri,jinsia,utimamu wa mwili na akili
ASANTENI