Makabi Lilepo
Member
- May 28, 2023
- 95
- 148
Kuingia Portal na kutembelea website ya Utumishi ni zaidi ya addiction
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAMA Mo Energy na site ya ujenzi[emoji95][emoji95]Kuingia Portal na kutembelea website ya Utumishi ni zaidi ya addiction
unapigwa Aptitude test
Kuna nafasi Moja ya kazi mfuko wa Self me. Interview watu 590 daaah!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
week ijayo nadhani![]()
Duuh matusi hayana msaada wowote mkuu kikubwa ni subra tuuh na uvumilivu ila daaah 😭😭ukiyafikilia sana hayo masenge utaumiza kichwa bure tu.😆
Kuna PDF HUKO LA KUITWA KAZINI.
Mimi na received 3 VETA, na 1 TRC ,oral hadi.sasa na moja MDA na LGA.Mimi alwatan innojembe niko bize na maswala ya kazi saivi ila nawasihi msiache kwenda kwenye interview,msiache kuapply kazi,msiache kujiweka fresh kwa kusoma research na kujipanga vyema....amini niwmbieni UTUMISHI 95% hakuna ubaguzi wala ukabila kama uko vyema sawa na sifa zao nafasi unapata.....mimi nlikutana na watu wengi na mmoja alikua jinsia KE” tena anajitolea taasisi hyohyo tunayoenda kufanya usaili kwa maana baadhi ya ma interview walikua wanamfahamu vyema Yule dada ila katika ushindani katika interview yule dada akufanikiwa (siwezi sema alifeli Bali naamini uwenda yuko database muda wake ulikua aujafika kwa sasa)
KIKUBWA NI MAANDALIZI, nikipata muda mzuri ntashusha hints nnazozifahamu kiasi chake ili tu share
Kuna pdf uko tayariJobless mko kimya,hakuna mirejesho,vp leo Pdf litasoma maana ndo mida yao au tutulie kwanza?
mnaojiona kwenye pdf mnafanyaje jamani mbona kazi hivi.?Kuna pdf uko tayari
Mkuu naamini na Sisi Ipo siku yetu Tu, kusubiria pdf Napo ni kazi nyingine.mnaojiona kwenye pdf mnafanyaje jamani mbona kazi hivi.?
🙏 🙏Mkuu naamini na Sisi Ipo siku yetu Tu, kusubiria pdf Napo ni kazi nyingine.
Daah nmeliona sasa si wangeunganisha na pdf la jana atleast likawa 1 kuliko pdf la page 4 ,page mbili zote limejaa maelezo page 1 ndo majina,wanatuzuga jmnKuna pdf uko leteni shuhuda wakuu
Sasa mitusi yote hiyo tunayowatukana si tunazifukuzia mbali baraka.Jobless mko kimya,hakuna mirejesho,vp leo Pdf litasoma maana ndo mida yao au tutulie kwanza?
Mungu atusamehe n hasira zao tu jobless[emoji1787][emoji1787]..zaman mtu ulikua ukimuona yko 25 hana kazi au hajaoa na kuolewa sijui tulikua tunaona wamekwama wap,this time is ours...ndo mana life la ss ivi hatutakiw kujudge sana,kiufup Mungu atuhurumie 2 hali n mbayaSasa mitusi yote hiyo tunayowatukana si tunazifukuzia mbali baraka.