Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huyu IT anayetoa pdf atakuwa analipwa per diem kila akiweka pdf, mana haiwezekani kila siku pdf robo robo huyu anafanya hv ili perdiem yake iwe nyingi.
 
Mimi na received 3 VETA, na 1 TRC ,oral hadi.sasa na moja MDA na LGA.
Shusha hints mkuu.

Sent from my Infinix X6525 using JamiiForums mobile app

Kabla cjashusha hints boresha
1.CONFIDENCE
2.SILENCE (unapokua na wenzio)
3.FOCUS ON WHAT YOU HAVE KUMKICHWA
4.BE CREATIVE and AGGRESSIVE KWA KILA UNACHOONGEA AU KUANDIKA
 
Soory ,Nimejikuta nacheka kwa swali lakoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Huyu ni mshindi ww psrs yaani kalamba asali juzi tu nadhani ata wiki 1 au 2 halijaisha toka jina lake litokee kwenye mkeka
Hivyo msikilize ana hoja
Hapana, hana hoja.

Jiulize, angekosa asali angesema hvy.?

Tukubali tuu kwenye kufanikiwa sio kupambana tuu hata bahati pia inahitajika, hvy wakati wake ulikuwa umeshafika na sio amepata asali kwa alichokisema.

CC mavumbamakasha

Au tumuulize huyo innojembe amefanya interview ngapi kwenye maisha yake sio tuu za utumishi hata za taasisi nyingine na ajiulize ni kwann amepata wakati huu.?
 
Tunajifunza kwa waliofaulu no matter what.

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
Mkuu iyo sio bahati, kama ingekuwa hakutuma maombi, hakuhudhuria interview yeyote yaan kiufupi hakushiriki kwenye huo mchakato kivyovyote vile, ghafla tu akajikuta kwenye pdf jina lake lipo hapo iyo ndo bahati sasa, tuiite iyo ni jitihada zake yeye zimempelekea kulamba asali. Tuongeze jitihada kuongeza izo received na kuhudhuria izo interview bila kuchoka
 
Neno" Bahati" linapita kwenye njia nyingi sanaa....
Kuna mtu kwenye Thread hii alikuwa analalamika sana mpka na matusi juu(kwanini yeye hajapewa kazi kaongoza written na Practical kwahiyo Oral ndo hashindwe kwel!!!)...Yote hayo ukitizama kwa jicho la Tatu utarudi "Si Bahati yake "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…