Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi na received 3 VETA, na 1 TRC ,oral hadi.sasa na moja MDA na LGA.
Shusha hints mkuu.
Sent from my Infinix X6525 using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]yan pdf leny majina ya page 1 ndo wanatamba nayo jmnHuyu IT anayetoa pdf atakuwa analipwa per diem kila akiweka pdf, mana haiwezekani kila siku pdf robo robo huyu anafanya hv ili perdiem yake iwe nyingi.
Wewe unayeongea hivi ni nani?Kabla cjashusha hints boresha
1.CONFIDENCE
2.SILENCE (unapokua na wenzio)
3.FOCUS ON WHAT YOU HAVE KUMKICHWA
4.BE CREATIVE and AGGRESSIVE KWA KILA UNACHOONGEA AU KUANDIKA
Jamaa anajaribu kutoa hints ambazo kwa asilimia kubwa anaamini zinasaidia kufaulu na kulamba asaliWewe unayeongea hivi ni nani?
Uvumilivu tuumnaojiona kwenye pdf mnafanyaje jamani mbona kazi hivi.?
Soory ,Nimejikuta nacheka kwa swali lako😀😀😀Wewe unayeongea hivi ni nani?
Hapana, hana hoja.Soory ,Nimejikuta nacheka kwa swali lako😀😀😀
Huyu ni mshindi ww psrs yaani kalamba asali juzi tu nadhani ata wiki 1 au 2 halijaisha toka jina lake litokee kwenye mkeka
Hivyo msikilize ana hoja
[emoji23][emoji23][emoji23]tusubir jion ila kwa leo sidhan washatuzuga na pdf zao za mchongo za sku 2utumishi achieni la tatu basi lenye nyamanyama kidogo.kuna mahindi ya kuchemsha apa..
Tunajifunza kwa waliofaulu no matter what.Hapana, hana hoja.
Jiulize, angekosa asali angesema hvy.?
Tukubali tuu kwenye kufanikiwa sio kupambana tuu hata bahati pia inahitajika, hvy wakati wake ulikuwa umeshafika na sio amepata asali kwa alichokisema.
CC mavumbamakasha
Au tumuulize huyo innojembe amefanya interview ngapi kwenye maisha yake sio tuu za utumishi hata za taasisi nyingine na ajiulize ni kwann amepata wakati huu.?
pdf moja wameipasua katikati 🤣 🤣[emoji23][emoji23][emoji23]tusubir jion ila kwa leo sidhan washatuzuga na pdf zao za mchongo za sku 2
😂😂😂😂 watu wana hasira sanaUzi huwa unapitia nyakati tofauti tofauti.
Sasa hivi hints zinakandiwa.
Kama MO aliwahi kuambiwa "TAFUTA PESA" kwenye kukandiwa hints siwezi kushangaa
hivi vitu ni vya kweli kabisa ila watu wamechagua kuamini wanachoaminiKabla cjashusha hints boresha
1.CONFIDENCE
2.SILENCE (unapokua na wenzio)
3.FOCUS ON WHAT YOU HAVE KUMKICHWA
4.BE CREATIVE and AGGRESSIVE KWA KILA UNACHOONGEA AU KUANDIKA
Stress za maisha 😂😂😂😂😂 watu wana hasira sana
inatia hasira sometimes ukiona pdf hazieleweki alafu unaona kabisa hapa zitakata wiki 2 ndio waweke nyingneStress za maisha 😂
Mkuu iyo sio bahati, kama ingekuwa hakutuma maombi, hakuhudhuria interview yeyote yaan kiufupi hakushiriki kwenye huo mchakato kivyovyote vile, ghafla tu akajikuta kwenye pdf jina lake lipo hapo iyo ndo bahati sasa, tuiite iyo ni jitihada zake yeye zimempelekea kulamba asali. Tuongeze jitihada kuongeza izo received na kuhudhuria izo interview bila kuchokaHapana, hana hoja.
Jiulize, angekosa asali angesema hvy.?
Tukubali tuu kwenye kufanikiwa sio kupambana tuu hata bahati pia inahitajika, hvy wakati wake ulikuwa umeshafika na sio amepata asali kwa alichokisema.
CC mavumbamakasha
Au tumuulize huyo innojembe amefanya interview ngapi kwenye maisha yake sio tuu za utumishi hata za taasisi nyingine na ajiulize ni kwann amepata wakati huu.?
Neno" Bahati" linapita kwenye njia nyingi sanaa....Mkuu iyo sio bahati, kama ingekuwa hakutuma maombi, hakuhudhuria interview yeyote yaan kiufupi hakushiriki kwenye huo mchakato kivyovyote vile, ghafla tu akajikuta kwenye pdf jina lake lipo hapo iyo ndo bahati sasa, tuiite iyo ni jitihada zake yeye zimempelekea kulamba asali. Tuongeze jitihada kuongeza izo received na kuhudhuria izo interview bila kuchoka