Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wanafeli oral wenye degree za human resources, ishu bahati tu sababu watu wanajua sana vitu

Kwahyo hiyo BAHATI inakuja siku ya interview ukibaki nyumbani?, au ukijibu ovyo bahati inakuja? Nshasema kama ni BAHATI basi iyo ni FINAL STATEMENT kinachoanza ni jitihada ambazo baadae zitaibeba iyo BAHATI ila usije kumuona kila aliefanikiwa (kwa njia halali) ukasema ni bahati!!!!

Mpe PONGEZI na kaa nae akupe baadhi ya mbinu...interview unaweza ukafaulu ila ujafaulu kumshinda Fulani kwasababu ya visababu Fulani Fulani ambavyo taasisi inavihitaji kutoka kwa mtu wake ila ukinambia BAHATI ntakataa maana mimi nna washikaji washaenda Dodoma interview zaidi ya Mara 11 na hawajafaulu ila ukiwauliza kuusu interview zao wanakwambia may be swali 1 lilimshinda, mengine labda kijasho kilimtoka (Nervous with in interview room) kila mtu na kidosari chake ...

Nisiongee sana nkaharibu ila cha kuzingatia ni KUMUOMBA MUNGU WAKO, KUJIAMINI, KUIJUA KADA YAKO NJE NDANI (Field and practically) then washawishi wasaili kama DADA WA RIVERSIDE wakimuona mwanaume (JIUZEE) hiyo ndo sehemu pekee ambayo kila neno unalolitoa ni pesa ya baadae pale kama point ina mifano weka UKIZUBAA utarudi na kusema nimejibu vizuri ORAL ila sijaitwa kumbe kuna ms***e aliweka mifano kwenye point akawa kakuzidi hivo
 
mie nikajua labda wenzetu wanakamati zao za ufundi
Hapana mkuu…yani ujue majina yanavyotoka ivi jina lako halipo unaona kama ndoto ivi siku ila kama umefanya oral kuna possibility kubwa one day kuitwa…jamani utumishi wapo fair sana…..

kila mtu ana imani yake ila mm ni mkatoliki interview naiombea mpaka misa asee na kufunga na kusali novena ya mt. Ritha…nlikua naamini almost wote tupo sawa tu tutapishana kdg sana so nlikua naamini neema ya Mungu ili niwe mshindi licha ya juhudi zangu za kusoma na kujiandaa vilivyo..na kuna siku kwenye huu uzi kuna ntu aliandika uki apply tu jiandae since iyo day ume apply nkachukua na kufanyia kazi ila still nkawa naamini nguvu za kiroho zitaniweka salama so nkawa nafanya ninavyoamini na kweli arol moja tu naktoka direct…

japo naamini database pia mana kuna wanangu nimekuatana nao kwnye vikao na wamelamba asali nzitoo sana….
 
Sahihi mkuu ni kujifunza tu kwa kila mtu aiyefanikiwa ni kuchukua uku na uku na kurelate na hali uliyonayo, leo nimekaa nasikiliza interview ya diamond platnum jamaa hana dharau ana unuenyekevu mkubwa na kujifunza kwa watu ambao ata amewazidi pesa, interview ambayo alienda brela…uyo boss wa brela aliyeongea nae its obvious mond kamzidi ila kachukua ushauri wake…so kujifunza positively tu kwa mtu aliyekutangulia na sio kubisha
 
Mkuu pokea tuu ushauri upungukiwi kitu kujifunza hata kwa yale unayo yajua!
 
Umenema Kiongozi
 
Umetisha mkuu wazi.
 
Wakuu habari zenu.

Nilikua nina swali moja.

Hivi kwa mfano mtu aliyefanya oral interview ya Tutorial Assistant ya Accounting na bahati mbaya akakosa Placement.

Je huyu mtu anaweza akapata placement nyingine kupitia database ya Tutorial?
 
Wakuu habari zenu.

Nilikua nina swali moja.

Hivi kwa mfano mtu aliyefanya oral interview ya Tutorial Assistant ya Accounting na bahati mbaya akakosa Placement.

Je huyu mtu anaweza akapata placement nyingine kupitia database ya Tutorial?
Jibu ni ndiyo anaweza mkuu,relax na endelea kuongeza received uendelee kupambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…