Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Don't give up...This is not about being patient,,, sometimes I feel like am just wasting my time .
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Don't give up...This is not about being patient,,, sometimes I feel like am just wasting my time .
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Wanafeli oral wenye degree za human resources, ishu bahati tu sababu watu wanajua sana vitu
Hapana mkuu…yani ujue majina yanavyotoka ivi jina lako halipo unaona kama ndoto ivi siku ila kama umefanya oral kuna possibility kubwa one day kuitwa…jamani utumishi wapo fair sana…..mie nikajua labda wenzetu wanakamati zao za ufundi
Pdf lenyew halijulikan linatok lin?tunatak lenye nyama nyama vitunguu karot,hoho yan sambusa iliyonona haswaa..Co ili la kutuzuga la page 4 mbili zote maneno maneno,moja ndo majinaView attachment 2928782chombo inasubili pdf jipya litoke...
wawahishe aisee tusije tukafa 🤣 🤣Pdf lenyew halijulikan linatok lin?tunatak lenye nyama nyama vitunguu karot,hoho yan sambusa iliyonona haswaa..Co ili la kutuzuga la page 4 mbili zote maneno maneno,moja ndo majina
Watoe Pdf nzito ....Pdf lenyew halijulikan linatok lin?tunatak lenye nyama nyama vitunguu karot,hoho yan sambusa iliyonona haswaa..Co ili la kutuzuga la page 4 mbili zote maneno maneno,moja ndo majina
Wk ndo imeisha ivo washatuzuga na pdf zao za majina ya page 1 ndo imeisha ivo,tusubir next wk..[emoji3]kimebaki kimoja
mie nshachoka sasa ngoja niende ofisini kwao tuWk ndo imeisha ivo washatuzuga na pdf zao za majina ya page 1 ndo imeisha ivo,tusubir next wk..[emoji3]
Mkuu zingatia watu wamekula mikando kwa hiyo wanajua wanacho ongea…wana uzoefu 😂😂😂😂Wewe unayeongea hivi ni nani?
Mkuu pokea tuu ushauri upungukiwi kitu kujifunza hata kwa yale unayo yajua!Hapana, hana hoja.
Jiulize, angekosa asali angesema hvy.?
Tukubali tuu kwenye kufanikiwa sio kupambana tuu hata bahati pia inahitajika, hvy wakati wake ulikuwa umeshafika na sio amepata asali kwa alichokisema.
CC mavumbamakasha
Au tumuulize huyo innojembe amefanya interview ngapi kwenye maisha yake sio tuu za utumishi hata za taasisi nyingine na ajiulize ni kwann amepata wakati huu.?
Umeelewa nilichokiandika.?Mkuu pokea tuu ushauri upungukiwi kitu kujifunza hata kwa yale unayo yajua!
Samahani mkuuUmeelewa nilichokiandika.?
Umenema KiongoziTunatofautiana kimawazo kiufupi nimeshafanya interview mbalimbali zipo nlizofeli na zipo nlizofaulu kwa baadhi ya sekta zenye mikataba ya muda flani ila izo hints sijazichambua vyema kwa kua ninakua bize ila nliziweka kwa ufupi ili anaenda kwenye interview ivi soon azichakate mwenyewe kabla ya mimi kuja kuzielezea...... (niwarudishe nyuma kidogo) mimi kwa baadhi ya interview nlizowahi kufeli chanzo kilikua ni kukosa kitu kimoja wapo katika vile nlivo mention apo kuna interview nyingne nlijibu vizuri ila nlikosa SILENCE ile natoka chumba cha usaili nkamwaga possible kwa wadau I think nlieweza kuwarahisishia wadau mzigo, au sometimes unaweza ongea na we zako ukataja udhaifu wako watu wakautumia
Kikubwa nachotaka kukisema hapa kuusu “BAHATI” iyo ni ishu ambayo ni very SPIRITUAL uwezi kujijua kama una bahati au LA! Kwahyo ili tuseme unabahati ni lazima JITIHADA ianze na swala la “MUDA SAHIHI”. ni swala la NADHARIA kwahyo hakuna anaeenda kwenye interview akiwa na akili kua anaenda KUBAHATIKA au NDO MUDA SAHIHI kwahyo ili haya mambo mimi naweza kuyaita FINAL RESULTS huja baada ya kufaulu au kufeli MAANA KUNA WATU WANAMALIZA CHUO LEO KESHO WANAAPPLY THEN KESHO KUTWA INTERVIEW NA WANAFAULU KUINGIA KAZINI hapo unaweza kusema ni bahati sasa kwanini uyu jobless Aliekaa miaka 7 mtaani akiwa na interview 8 ajapata BAHATI HIYO?????kikubwa ni kuzingatia ivo nilivotaja kwa kuongezea vyako unavoviamini kwa mfano nikisema CONFIDENCE means umo ndani kunakua na FACIAL EXPRESSION,BODY LANGUAGE,DRESSING,VOICE TONE,LANGUAGE GRAMMATICAL ivi vyote viko fulfilled within CONFIDENCE
NKIPATA time ntakuja na NONDO ZAIDI ila kama watu wote wakivizingatia hivi kitakachotenganisha ushindi ni utofauti wa mtu 1 na mwingine vitu kama experience,umri,jinsia,utimamu wa mwili na akili
ASANTENI
Umetisha mkuu wazi.Kwahyo hiyo BAHATI inakuja siku ya interview ukibaki nyumbani?, au ukijibu ovyo bahati inakuja? Nshasema kama ni BAHATI basi iyo ni FINAL STATEMENT kinachoanza ni jitihada ambazo baadae zitaibeba iyo BAHATI ila usije kumuona kila aliefanikiwa (kwa njia halali) ukasema ni bahati!!!!
Mpe PONGEZI na kaa nae akupe baadhi ya mbinu...interview unaweza ukafaulu ila ujafaulu kumshinda Fulani kwasababu ya visababu Fulani Fulani ambavyo taasisi inavihitaji kutoka kwa mtu wake ila ukinambia BAHATI ntakataa maana mimi nna washikaji washaenda Dodoma interview zaidi ya Mara 11 na hawajafaulu ila ukiwauliza kuusu interview zao wanakwambia may be swali 1 lilimshinda, mengine labda kijasho kilimtoka (Nervous with in interview room) kila mtu na kidosari chake ...
Nisiongee sana nkaharibu ila cha kuzingatia ni KUMUOMBA MUNGU WAKO, KUJIAMINI, KUIJUA KADA YAKO NJE NDANI (Field and practically) then washawishi wasaili kama DADA WA RIVERSIDE wakimuona mwanaume (JIUZEE) hiyo ndo sehemu pekee ambayo kila neno unalolitoa ni pesa ya baadae pale kama point ina mifano weka UKIZUBAA utarudi na kusema nimejibu vizuri ORAL ila sijaitwa kumbe kuna ms***e aliweka mifano kwenye point akawa kakuzidi hivo
Jibu ni ndiyo anaweza mkuu,relax na endelea kuongeza received uendelee kupambanaWakuu habari zenu.
Nilikua nina swali moja.
Hivi kwa mfano mtu aliyefanya oral interview ya Tutorial Assistant ya Accounting na bahati mbaya akakosa Placement.
Je huyu mtu anaweza akapata placement nyingine kupitia database ya Tutorial?
Thanks kwa majibu mazuri pia kwa kuni encourage.Jibu ni ndiyo anaweza mkuu,relax na endelea kuongeza receibed uendelee kupambana