Kwani kuna database ya tutorial? Au anaweza pangiwa sehem yeyote ikiwa kama coz yake inafit?Wakuu habari zenu.
Nilikua nina swali moja.
Hivi kwa mfano mtu aliyefanya oral interview ya Tutorial Assistant ya Accounting na bahati mbaya akakosa Placement.
Je huyu mtu anaweza akapata placement nyingine kupitia database ya Tutorial?
ni hivi, baada ya hiki kimulimuli kuzima tutakaa wiki almost mbili hivi alafu zitatoka pdf 2..Aya,kumekucha jobless wa Mungu..let's keep on waiting,neema zinaweza kutudondokea anytime
Wasitufanyie ivo mkuu,uku kitaa sio poa,tumewakosea nini Psrs mbn vijana tunapata tabu ivini hivi, baada ya hiki kimulimuli kuzima tutakaa wiki almost mbili hivi alafu zitatoka pdf 2..
Umefanya oral ngapi mkuu?Wasitufanyie ivo mkuu,uku kitaa sio poa,tumewakosea nini Psrs mbn vijana tunapata tabu ivi
Oral mojaUmefanya oral ngapi mkuu?
Taasis gani labda tupo wote tufarijiane?Oral moja
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Wanahitaji Toba hao PSRS hata hofu ya Mungu hawana vipindi hivi vya mfungo.......ni hivi, baada ya hiki kimulimuli kuzima tutakaa wiki almost mbili hivi alafu zitatoka pdf 2..
MDA'STaasis gani labda tupo wote tufarijiane?
kama tumewakosea si watuambie tukae chini tuyamalize π€£ π€£Wasitufanyie ivo mkuu,uku kitaa sio poa,tumewakosea nini Psrs mbn vijana tunapata tabu ivi
Kwakweli[emoji1787]kama tumewakosea si watuambie tukae chini tuyamalize [emoji1787] [emoji1787]
Zaid ya 20 km wameniroga, naona kitu cha mpwapwa tu[emoji1787]pinacoladee ebu nambie mpaka sasa hivi umeingia webu mara ngapi.
mie nimetoka kuingia muda si mrefu.ni mara ya themanini na tanoZaid ya 20 km wameniroga, naona kitu cha mpwapwa tu[emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3] NI MWENDO WA KUZAMA CHUNYA SHIMONI KUTEMA GOLDmie nimetoka kuingia muda si mrefu.ni mara ya themanini na tano
mpaka vidole vimekufa ganzi π€£ π€£[emoji3][emoji3][emoji3] NI MWENDO WA KUZAMA CHUNYA SHIMONI KUTEMA GOLD
Hata Mimi nilifanya mda mwez wa 12. Kada gani?MDA'S
Wamevurugwa wapi? Ni ujinga tuwatu wamevurugwa dadeki π π π