Kwani kuna database ya tutorial? Au anaweza pangiwa sehem yeyote ikiwa kama coz yake inafit?Wakuu habari zenu.
Nilikua nina swali moja.
Hivi kwa mfano mtu aliyefanya oral interview ya Tutorial Assistant ya Accounting na bahati mbaya akakosa Placement.
Je huyu mtu anaweza akapata placement nyingine kupitia database ya Tutorial?