ThugMaster
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 1,594
- 2,234
Siku izi ni mwendo wa majina ya page moja tu,pdf halina nyama za kutosha,mbn wanabana ivi shida nn
Bado ndugu yangu,Aluta continua[emoji1787][emoji123]Mzee hujalamba asali? Maana si kwa juhudi hizi za kuwa active humu 24/7 [emoji28][emoji28][emoji119]
Ngoma bdo ngumu,iv pdf lile la page 1 unafkir shuhuda zitatok nying sasa..halafu mwez huu pdf fupi fupi tuPDF la leo hamna Ushuhuda?
Mle wengi madereva.....Ngoma bdo ngumu,iv pdf lile la page 1 unafkir shuhuda zitatok nying sasa..halafu mwez huu pdf fupi fupi tu
Wacha wale shavu tu ndo zamu yaoMle wengi madereva.....
Mama(rais) atoe tamko Taasisi zote zirudi Utumishi .....Sure mkuu,mbn wanazuga sana..wanatujaza dom kule na majina yanatok ya page 1
Daah,jobless mie mpaka nishapata ugumu kuelezea vile najiskia moyoni[emoji854]Mama(rais) atoe tamko Taasisi zote zirudi Utumishi .....
PSRS Waachie mikeka walionayo kuliko sasa wanachotufanyia....
Halafu mbona taasisi zinazoajiri hapo utumishi kila Placement ni kama zinajirudia ,kuna taasisi ni mwiko kuona Placement kupitia utumishi , why ?Mama(rais) atoe tamko Taasisi zote zirudi Utumishi .....
PSRS Waachie mikeka walionayo kuliko sasa wanachotufanyia....
Boss kutoka juu alitoa ridhaa Taasisi kama nane ziajiri zenyewe!!Halafu mbona taasisi zinazoajiri hapo utumishi kila Placement ni kama zinajirudia ,kuna taasisi ni mwiko kuona Placement kupitia utumishi , why ?
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Wapuuzi Tu , hizo pesa walizokopa mbona effect Hamna kwenye hizo huduma za kijamii na miundombinu ?"Tunakwenda kupunguza masuala ya kukopa hasa kwa huduma za jamii sababu katika miaka mitatu hii tumekopa sana kwa ajili ya huduma za jamii, elimu, afya, maji umeme na mambo mengine, sasa tunakokwenda miaka miwili hii mnajua fika matumizi makubwa yataelekea wapi, sasa ili fedha ziweze kurudi TAMISEMI lazima tufanye jitihada za makusanyo," - Rais @SuluhuSamia
.....
Hapa kunaharufu ya Mkeka wa TRA
Hahaha umeme unakatika kama tochi za kuchaji za mchina.Wapuuzi Tu , hizo pesa walizokopa mbona effect Hamna kwenye hizo huduma za kijamii na miundombinu ?
How dare ?
Yaani bila aibu wanaongelea taasisi kama TANESCO ,hii hii TANESCO inayotulaza gizani kama Mende ? Au TANESCO ya sayari ya Mars ?
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Mojawapo ni TFS, na kingine kuna watu tumemalza 2022 mpaka leo hawajawahi toa ajira yeyote ile,Halafu mbona taasisi zinazoajiri hapo utumishi kila Placement ni kama zinajirudia ,kuna taasisi ni mwiko kuona Placement kupitia utumishi , why ?
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
TANESCO nao sijui hawaajiri duh!!Mojawapo ni TFS, na kingine kuna watu tumemalza 2022 mpaka leo hawajawahi toa ajira yeyote ile,
Kuna wa 2015 washa amua kuendelea na mishe zngneMojawapo ni TFS, na kingine kuna watu tumemalza 2022 mpaka leo hawajawahi toa ajira yeyote ile,
Tangu mwaka 2021......?hawajaajiriYaani TANESCO kama vile watumishi hawastafu, hawafi na kuama.
Hivi karibuni hamna any job advertisement.
Au ndo connection zinafanya yakeTANESCO nao sijui hawaajiri duh!!
Aisee Mungu awajalie, japo kuna waliomaliza 2021 wengi walibahatika kula mashavuKuna wa 2015 washa amua kuendelea na mishe zngne