Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hivi mnaokuwaga mtaani yaani umekaa huna mishe ghafla unaona mkeka wa Utumishi wanakuita huwa mnajiskiaje. Hebu tupeni experience
Itakua hawalali siku iyo[emoji1787]lazima kuwe na vitu vingi kwenye kichwa,ulipotoka,unapoenda sidhan km walipata usingiz kwa haraka.
 
Kuna pdf uko, ila PSRS hawako seriously Kun
Hawana jipya....Taasisi ni zile zile zilizofanyiwa placement nov 2023 leo zimerudi inamaana Watumishi waliowapeleka wamegoma au...
Pumzi imekata naona PRSR
 
Hawa psrs sijui nini shida, wanadai tasisi inayo toa tangazo ndo zenye shida kuchelewesha kuita watu kazini sio kweli kabisa, kama ni tasisi ndo inayo chelewesha why wairuhusu ilete tangazo na wafanye mchakato wa usahili angali wanajua tasisi haitaki watu ivi karibuni.

Bora ucheleweshe kuita watu katika usahili kuliko placement.

Kuna kada tangu mwenzi wa saba walifanya oral na nyingingine toka mwenzi wa 11 walifanya oral hata mmoja hajapangiwa!.

Bora wapangie idadi iliyosemwa katika tangazo la kazi afu wngine waliyo fauli wasubili data base ila wakijua tayali ile kada ilipangiwa watu
 
Very true haisee
 
Na mafisa hesabu kwenye halimashauri
 
UTUMISHI YA SASA INAKATISHA TAMAA.

wakati naanza Harakati za kufuatilia huu Uzi au marafiki zangu walionizunguka asilimia kubwa walipfanya Oral wakipata kazi.

Lakini nilippingia mimi leo naongea hii mwezi wa nane hata database yangu haijaguswa....
 
UTUMISHI YA SASA INAKATISHA TAMAA.

wakati naanza Harakati za kufuatilia huu Uzi au marafiki zangu walionizunguka asilimia kubwa walipfanya Oral wakipata kazi.

Lakini nilippingia mimi leo naongea hii mwezi wa nane hata database yangu haijaguswa....
Saivi sijui kasi yao imekuwaje,
Mimi nawashangaa sana nilisha wahi kuuzulia mkutano wao hapo dar ukumbi wa chuo cha utalii posta kuhusu kujenga mfumo wa aptitude test (kufanya interview online) waliruhusu kutoa malalamiko na mapendekezo ya changamoto mbalimbali watu walijiachia na kusema mengi kalibia yote mnayo lalamikia na kutoa mrejesho wa hoja za walalamikaji na nyingi waliweza kusema wanazifanyia kazi ila bado wako vilevile tu toka 2022/2023 hadi leo duh, pia napata wasiwasi na mfumo watakao jenga wa aptitude test, Kama wameshindwa kuweka content katika app ya ajira portal katika appstore za iphone sasa hapo napata mashaka nao why wasiajiri wataalamu katika tasisi yao basi wafuate msaada kutoka kwa watalamu wa nje kama wa ndani uwezo ni mudogo
 
Hawa psrs sijui nini shida, wanadai tasisi inayo toa tangazo ndo zenye shida kuchelewesha kuita watu kazini

Siku ukipata placement ndio utajua kuwa PSRS hawakuwa wanaongopa.

Vuta subira uje utupe huu mrejesho
 
Siku ukipata placement ndio utajua kuwa PSRS hawakuwa wanaongopa.

Vuta subira uje utupe huu mrejesho
Mimi ninacho shangaa ni kwanini wasiweke sheria au kanunu kuwa tasisi inayo itaji kuendeshewa usahili kupitia psrs kama ikileta tangazo iwe tayali isha weka mambo sawa ili watu wakifanya oral wasicheleweshe kuitwa, kuanzia mwiki mbili hadi miezi miwili mwisho kuliko kukalisha watu hadi miezi sita bila kuita hata mtu mmjo, bora wawaite idadi inayo takiwa kulingana na tangazo afu wanao baki waendelee kusubiri data base itende miujiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…