Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mbona wakati mwingine tasisi zinapo ajiri zenyewe huwa ziko fasta kuliko kupitia utumishi, kama shida ni tasisi inachelewesha mchakato wa kupangiwa kituo cha kazi.

Sema tu walichofauli kiasi chake hao psrs ni haki katika usahili sio sana mambo ya connection kama tasisi zingine ila usahili katika tasisi husika huwa uko fasta ukitupilia mbali madai ya connection
 
Siku ukipata placement ndio utajua kuwa PSRS hawakuwa wanaongopa.

Vuta subira uje utupe huu mrejesho
Hatukatai ila wanatakiwa kua organised,wakae chini watengeneze mambo yao,unakuta unaend dom kufanya interview wakati miezi mitatu nyuma umefanya interview ambayo hujapewa majibu ni kheri upewe majibu kwa harak ujue hujapata kuliko kutufanyia ivi
 
Ni wenyewe tu kutokua organised,mambo yao hawajayapangilia vizur,mama angejaribu kuingalia hii sekretarieti sasa ivi wanasema interview zitakua zinafanyika online ngj tuone mambo yatakavyokua,sababu hazitakosekana
 
Ni wenyewe tu kutokua organised,mambo yao hawajayapangilia vizur,mama angejaribu kuingalia hii sekretarieti sasa ivi wanasema interview zitakua zinafanyika online ngj tuone mambo yatakavyokua,sababu hazitakosekana
Hiyo itakuwa wamejikita katika written tu ndo mambo yatakuwa online michakato mingine itabaki palepale tu oral na kuchelewesha kuita watu kazini haito saidiwa na online interview, na nilazima hiyo written uende katika vituo husika kwa kutumia divece zao na sio eti uko nyumbani, hiyo main point iliyo kuwepo katika mdahalo kipindi cha maoni ni kwamba irahisishe usahishaji, ukweli, haki, na imani zidi ya written interview na ukitoka kwa chumba cha written unajua makisi zako kama umepita au sio, kupunguza msongamano wa kule dodoma na gharama ,
Baada ya hapo mengine yatabaki kama unavyo ona leo hii wanafanya
 
Siku ukipata placement ndio utajua kuwa PSRS hawakuwa wanaongopa.

Vuta subira uje utupe huu mrejesho
Ok fine
Kama sio wao psrs wenye changamoto na tasisi ndo zinazingua why psrs wasiwe watumishi wabunifu kulingana na changamoto na madai ya wadau wa waombaji ajira, basi waweke hata notifications comments katika accounts za waombaji ajira waliyo fanya oral na wanasubiri placement
Mbona katika ratiba za interview wanaweka kila katika account za wadaui (wahanga wa ajira),
Wafanyakazi kote duniani mashirika binafsi, Utumisha wa uma na hata kama ni self employed ila jamii inakutegemea kulingana na kazi yako basi unatakiwa uwe na leadership skill na uwe creative kuisaidia jamii
 
Tasisi imepewa dhamani kusimamia michakoto na uendeshaji wa kupata watumishi(wafanyakazi) eti changamoto zinakuja au zinaonekana afu wanasema sio wao, sio wao ila jamii unafikili itaamini sio wao?, hapo ndo suala la creative na problem solving skill inatakiwa, hakuna haja ya kutuaminisha vitu Kama hivi (psrs), bila kuonesha positive impact

Nisawa kukuta ajari imetokea barabarani kutoa msaada unasema sio ndugu yangu tatizo alikuwa ndugu yake na jamaa yule nikashindwa kumsaidia!😳😳
 
Waache hadithi nyingi toeni majina ili mfungo yenu wote wakristo na waislam iende sawa bhana
 
dah sio poa.yaani pdf kipande halafu bado linagawanywa mara mbili [emoji1787] [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]mpaka tusemeee yaniiiii...ila jobless kama tumepoa ata kukiamsha uko twit,insta hakuna ki2 ata kucomment tu kwnye social media zao za PSRS tumepoaaa sana..Mama kama hajui ivi hakuna kelele kbsaa
 
[emoji1787][emoji1787]mpaka tusemeee yaniiiii...ila jobless kama tumepoa ata kukiamsha uko twit,insta hakuna ki2 ata kucomment tu kwnye social media zao za PSRS tumepoaaa sana..Mama kama hajui ivi hakuna kelele kbsaa
aisee itabidi tuanze kuwalipua huko twitter watakuja kututoa roho mchana kweupe kwa staili hii... 🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…