Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mambo magumu Sana haya,
NI kama miezi 5 imepita,
Nafasi za kazi zilizokuwa zimetangazwa 5
Idadi ya selected kwenda Oral interview 23,
Idadi ya waliopata Placement Hadi Sasa 3,
Je kwa Status hapa chini inavyojieleza ni kuwa yupo database au ndiyo Baba Jane Bye bye???
 
Attachments

  • IMG-20240316-WA0015.jpg
    23.1 KB · Views: 9
ombea nafasi zipatikane hapo unalamba asali
 
According to wadau wa humu ni kua upo katika database mkuu.
 
Kwahiyo wasailiwa wanafikiri utumishi wanafanya makusudi kuchelewesha placements? Kama ingekuwa hivyo basi taasisi zinazohitaji watumishi zingekuwa za kwanza kulalamika.
Shida ni kwamba why wazikubalie tasisi kama hizo kuendesha usahili angali wanajua wako na uhitaji wa haraka, inabidi waweke mikakati na sheria kwa psrs dhidi ya hizo tasisi
 
Shida ni kwamba why wazikubalie tasisi kama hizo kuendesha usahili angali wanajua wako na uhitaji wa haraka, inabidi waweke mikakati na sheria kwa psrs dhidi ya hizo tasisi
Shida ni kwamba why wazikubalie tasisi kama hizo kuendesha usahili angali wanajua hawna uhitaji wa haraka, inabidi waweke mikakati na sheria kwa psrs dhidi ya hizo tasisi, na pili kama changamoto haiko pia kwa psrs why tasisi nyingi zinatamani ziajili pekee yao bila kupitia psrs
 
ombea nafasi zipatikane hapo unalamba asali
Mimi nashangaa wanawezaje kutoa tangazo na idadi ya watu afu anaita nusunusu na mambo hayo yapo sana kwa matangazo ya MDAs & LGAs, huo ni ubabaishaji , toa tangazo huku ukijua idadi ya candidate itapangiwa yote kwa mara mojo au ndo uaanze sasa kuwapangia watakao kuwa data base nusunusu hadi waishe, Ila wapangiwe kwanza idadi ile iliyo itajika kwa awamu moja
 
Hapo ndipo hata Mimi siwaelewi Sasa nafasi zenyewe 5 ambazo ni chache tu ni Bora wakaita wote watano ili mtu ajijue yupo database au la.
 
Shida ni kwamba why wazikubalie tasisi kama hizo kuendesha usahili angali wanajua wako na uhitaji wa haraka, inabidi waweke mikakati na sheria kwa psrs dhidi ya hizo tasisi
Umeniambia nikutafutie watu mahususi kwa kazi Fulani. Nimefanya hivyo kwa wakati Kisha nakutaarifu Ile kazi yako imekamilika. Unaniambia basi subiri kwanza nitakutaarifu uwaambie walengwa waje kuanza kazi. Kosa la huyo mtu wa Kati hapo ni lipi? Najua ni namna Gani unaumia kutokana na shauku uliyonayo mara baada ya Kutoka kufanya usaili. Mimi nashauri kuwa na subira tu kwakua part yako kama msailiwa unakuwa umemaliza, hivyo mengine waachie wao muda ukifika utaitwa kazini.
 
Mimi nasemea kwa wote wahanga haiwezekani oral ufanye afu ikae zaidi ya miezi sita sasa hapo si ni kutiana taharuki tu,
Huyo mtu wa kati(psrs) anapaswa aweke kanuni zake kuwa baada ya kufanya oral placement zisivuke kipindi cha miezi miwili kusuburi
 
Mimi nasemea kwa wote wahanga haiwezekani oral ufanye afu ikae zaidi ya miezi sita sasa hapo si ni kutiana taharuki tu,
Huyo mtu wa kati(psrs) anapaswa aweke kanuni zake kuwa baada ya kufanya oral placement zisivuke kioindi cha miezi miwili kusuburi
Nisha sema utumishi wa uma unaitaji discipline na leadership skill pia unatakiwa use creative katika kutatua changamoto
 
Kwa kufunya hivyo wanavyofanya wanakua wamevunja Sheria Gani kwenye katiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…