Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

kuna video niliiona wanalalamika kwamba taasisi ndio hazina ushirikiano linapokuja swala la kupangia watu kazi. inaonekana kuna kuvimbiana na kuchukuliana poa baina ya taasisi na psrs
 
mimi nilifanya MDA and LGA mwez wa 11 kada yetu ilikuwa inataka watu 2 na oral tulifika 11 lakini mpaka mwisho wa mwez wa 2 tulipata wote placement na kuna kada alifanya class mate wangu walifikq oral 4 na walitakiwa 2 lakini mpka leo wamechukua 1 tu. sasa hapo tunalaumu utumishi au taasisi? kwann utumishi au kwanini taasisi??
 
Shida ni hizo za MDA's lakini LGA's siyo shida. Kama kada husika wamelenga kuwamwaga LGA's mbona chap tu Ila huko MDA's Sasa ni balaa mpaka astaafu mmojawapo ndipo waseme tuleteeni mmoja hapo Napo ni taaisis moja tu.
 
nyie mnaowatetea utumishi subirini tako lisugue bench kama mwaka mmoja hivi bila placement alafu kilasiku mnaitwa interview mtabadilisha gia angani mbona.inaonekana ni wageni na gemu.
 
nyie mnaowatetea utumishi subirini tako lisugue bench kama mwaka mmoja hivi bila placement alafu kilasiku mnaitwa interview mtabadilisha gia angani mbona.inaonekana ni wageni na gemu.
[emoji28]ukute wenzetu uhakika upo bhna,mwenzangu na mie siwez kutetea kitu kiko clear kbsa kwamba hii sekretariet mambo yao hayako organised,km taasis ndo zinachelewesh kwann wasikae chini kutatua izo changamot, kuna mdau uko juu amesisitza sana swala la kua creative,kua creative ni pamoja ya kuangalia au kufanya analysis,waangalie strength zao,weakness,opportunities na threats wataalam wanasem ni kufanya swot analysis,sasa hamuwez kua creative na kuendelea mbele bila kufanya uchambuzi wa kina.
 
hawatoi 🤣 🤣
 
Sure mkuu haijulikani wa data base wala sjui tuwaite fresh waliopass marks za juu,kutangaza nafasi ya kazi inahitaji watu 50 wanakua wanajua kbsa ao wa2 wataenda kuziba mapengo sehem fulani,ss wanavyochelewesh utadhan ndo wanaanza kujitafuta wap penye gaps..kma unavyosem wakat mwngn ni ubabaishaj waonekane ajira ni nying.
 
Jana Kuna mdg angu kafanya written ya credit officer wakiambiwa majibu Ni kesho tu ambapo Ni leo
 
Basi huyo mtu wa kati ikibidi atowe notification coment kwa account za wanao subiri placement, ajiongeze hivyo ili kuondoa taharuki pia kutijitengenezea chuki na lawama kwa watahiniwa wa usahili, mbona simple tu, toa coment kwa kila anaye subiri placement hata kama amefeli pia mwambie , kwani ni sili sana kiasi kwamba haitakiwi kujua mtu kama mambo ya faragha?!
 
Ni hivii.hayo mautumishi hata muyatetee vipi ni majinga proMAX.
 
kuna watu walifanya urban planning mwaka jana mpaka leo hawajawahi kuita mtu hata 1.matako yaoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…