Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Umeshapata ajira mkuu?Kwa kufunya hivyo wanavyofanya wanakua wamevunja Sheria Gani kwenye katiba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshapata ajira mkuu?Kwa kufunya hivyo wanavyofanya wanakua wamevunja Sheria Gani kwenye katiba?
kuna video niliiona wanalalamika kwamba taasisi ndio hazina ushirikiano linapokuja swala la kupangia watu kazi. inaonekana kuna kuvimbiana na kuchukuliana poa baina ya taasisi na psrsMimi nashangaa wanawezaje kutoa tangazo na idadi ya watu afu anaita nusunusu na mambo hayo yapo sana kwa matangazo ya MDAs & LGAs, huo ni ubabaishaji , toa tangazo huku ukijua idadi ya candidate itapangiwa yote kwa mara mojo au ndo uaanze sasa kuwapangia watakao kuwa data base nusunusu hadi waishe, Ila wapangiwe kwanza idadi ile iliyo itajika kwa awamu moja
Nasubiria kama wewe na wengine.Umeshapata ajira mkuu?
mimi nilifanya MDA and LGA mwez wa 11 kada yetu ilikuwa inataka watu 2 na oral tulifika 11 lakini mpaka mwisho wa mwez wa 2 tulipata wote placement na kuna kada alifanya class mate wangu walifikq oral 4 na walitakiwa 2 lakini mpka leo wamechukua 1 tu. sasa hapo tunalaumu utumishi au taasisi? kwann utumishi au kwanini taasisi??Mimi nashangaa wanawezaje kutoa tangazo na idadi ya watu afu anaita nusunusu na mambo hayo yapo sana kwa matangazo ya MDAs & LGAs, huo ni ubabaishaji , toa tangazo huku ukijua idadi ya candidate itapangiwa yote kwa mara mojo au ndo uaanze sasa kuwapangia watakao kuwa data base nusunusu hadi waishe, Ila wapangiwe kwanza idadi ile iliyo itajika kwa awamu moja
Shida ni hizo za MDA's lakini LGA's siyo shida. Kama kada husika wamelenga kuwamwaga LGA's mbona chap tu Ila huko MDA's Sasa ni balaa mpaka astaafu mmojawapo ndipo waseme tuleteeni mmoja hapo Napo ni taaisis moja tu.mimi nilifanya MDA and LGA mwez wa 11 kada yetu ilikuwa inataka watu 2 na oral tulifika 11 lakini mpaka mwisho wa mwez wa 2 tulipata wote placement na kuna kada alifanya class mate wangu walifikq oral 4 na walitakiwa 2 lakini mpka leo wamechukua 1 tu. sasa hapo tunalaumu utumishi au taasisi? kwann utumishi au kwanini taasisi??
[emoji28]ukute wenzetu uhakika upo bhna,mwenzangu na mie siwez kutetea kitu kiko clear kbsa kwamba hii sekretariet mambo yao hayako organised,km taasis ndo zinachelewesh kwann wasikae chini kutatua izo changamot, kuna mdau uko juu amesisitza sana swala la kua creative,kua creative ni pamoja ya kuangalia au kufanya analysis,waangalie strength zao,weakness,opportunities na threats wataalam wanasem ni kufanya swot analysis,sasa hamuwez kua creative na kuendelea mbele bila kufanya uchambuzi wa kina.nyie mnaowatetea utumishi subirini tako lisugue bench kama mwaka mmoja hivi bila placement alafu kilasiku mnaitwa interview mtabadilisha gia angani mbona.inaonekana ni wageni na gemu.
hawatoi 🤣 🤣[emoji28]ukute wenzetu uhakika upo bhna,mwenzangu na mie siwez kutetea kitu kiko clear kbsa kwamba hii sekretariet mambo yao hayako organised,km taasis ndo zinachelewesh kwann wasikae chini kutatua izo changamot, kuna mdau uko juu amesisitza sana swala la kua creative,kua creative ni pamoja ya kuangalia au kufanya analysis,waangalie strength zao,weakness,opportunities na threats wataalam wanasem ni kufanya swot analysis,sasa hamuwez kua creative na kuendelea mbele bila kufanya uchambuzi wa kina.
Sure mkuu haijulikani wa data base wala sjui tuwaite fresh waliopass marks za juu,kutangaza nafasi ya kazi inahitaji watu 50 wanakua wanajua kbsa ao wa2 wataenda kuziba mapengo sehem fulani,ss wanavyochelewesh utadhan ndo wanaanza kujitafuta wap penye gaps..kma unavyosem wakat mwngn ni ubabaishaj waonekane ajira ni nying.Mimi nashangaa wanawezaje kutoa tangazo na idadi ya watu afu anaita nusunusu na mambo hayo yapo sana kwa matangazo ya MDAs & LGAs, huo ni ubabaishaji , toa tangazo huku ukijua idadi ya candidate itapangiwa yote kwa mara mojo au ndo uaanze sasa kuwapangia watakao kuwa data base nusunusu hadi waishe, Ila wapangiwe kwanza idadi ile iliyo itajika kwa awamu moja
Umemsikia katibu wa PSRS uko anasistiza msitoe rushwa kupatiwa kazi[emoji1787],jobless naitolea pesa wap mm mtt wa kajamba nanihawatoi [emoji1787] [emoji1787]
Yatakuwa hewani muda si mrefu maana wameanza na ICTJana Kuna mdg angu kafanya written ya credit officer wakiambiwa majibu Ni kesho tu ambapo Ni leo
Basi huyo mtu wa kati ikibidi atowe notification coment kwa account za wanao subiri placement, ajiongeze hivyo ili kuondoa taharuki pia kutijitengenezea chuki na lawama kwa watahiniwa wa usahili, mbona simple tu, toa coment kwa kila anaye subiri placement hata kama amefeli pia mwambie , kwani ni sili sana kiasi kwamba haitakiwi kujua mtu kama mambo ya faragha?!Umeniambia nikutafutie watu mahususi kwa kazi Fulani. Nimefanya hivyo kwa wakati Kisha nakutaarifu Ile kazi yako imekamilika. Unaniambia basi subiri kwanza nitakutaarifu uwaambie walengwa waje kuanza kazi. Kosa la huyo mtu wa Kati hapo ni lipi? Najua ni namna Gani unaumia kutokana na shauku uliyonayo mara baada ya Kutoka kufanya usaili. Mimi nashauri kuwa na subira tu kwakua part yako kama msailiwa unakuwa umemaliza, hivyo mengine waachie wao muda ukifika utaitwa kazini.
Ni hivii.hayo mautumishi hata muyatetee vipi ni majinga proMAX.[emoji28]ukute wenzetu uhakika upo bhna,mwenzangu na mie siwez kutetea kitu kiko clear kbsa kwamba hii sekretariet mambo yao hayako organised,km taasis ndo zinachelewesh kwann wasikae chini kutatua izo changamot, kuna mdau uko juu amesisitza sana swala la kua creative,kua creative ni pamoja ya kuangalia au kufanya analysis,waangalie strength zao,weakness,opportunities na threats wataalam wanasem ni kufanya swot analysis,sasa hamuwez kua creative na kuendelea mbele bila kufanya uchambuzi wa kina.
hiyo hela ya rushwa atanipa yeyeUmemsikia katibu wa PSRS uko anasistiza msitoe rushwa kupatiwa kazi[emoji1787],jobless naitolea pesa wap mm mtt wa kajamba nani
Wahuni tu hawa,PSRS Kuna changamoto siyo bure!!
Walifanya oral ya Urban planning mwezi wa ngapi mkuu?kuna watu walifanya urban planning mwaka jana mpaka leo hawajawahi kuita mtu hata 1.matako yaoooo