Kusomea Tanzania ni changamoto hata ukienda tafuta kazi nje (abroad) huaminiki na taaluma yako ya tz, na ukirudi tz nako kuna mambo mengi yanakera, maovu Mengi ambayo hayakubaliki na jamii na Mungu pia,
Psrs jueni kunakitu kinaitwa creative, ukitaka kusolve changamoto katika system yoyote angalia kwanza usability wanasemaje ( sasa kila siku watu wanalalamika vitu hivyohivyo na bado hamshutuki tu, eti kuweka uwazi katika suala la placement mnasema ni sili ili watu waendelee kutuma maombi wasibweteke na kusema eti muombaji wa ajira niko tayali kwa database, kwani kanuni ya utafutaji ikoje si inasema mtafutaji hachoki hadi siku akipata, sasa kuwa akijua yuko kwa database ndo kupata?!. Ni lazima ataendelea kuongeza receved tu otherwise usema atakaya oneshwa kwa system kuwa tayali anapangiwa kituo cha kazi kulingana na idadi ya wanaoitajika kwa tangazo la kazi, na huo sio tena database member ni tayali kapata na system ingemuonesha hawa watapangiwa na hawa wako database na hawa hawakufikisha cutt point,
Dunia ya sasa inahitaji ukweli, uwazi na uadilifu bhana