Kada kama za Automobile Engineer, Mechanical Engineer, na za afisa mifungo na wasaidizi wake mbona hazitolewi Tena hao wa mechanical pia. sasa hao wa automobile toka usahili wa oral na hajachomorewa hata mmoja ukiangalia kada zingine zilizo kuwa katika tangazo moja zote tayali na washa sahau kitambo! Zipo na kanda zingine watu wako kazi data kibao duh!, ushauri tu wawapangie Kwa mkupuo kama walivyo fanya kwa electrical, civil, na wale TMA na Kama wale wa ugavi na usambazaji, hii nchi wanasema wanauhaba wa engineers
na watu wa kilimo na mifugo pia na madakitari ila kwa sitahili hii sijui kama kweli wanashida nao kama wanavyo sema kufika uchumi wa kati daraja la juu na tz ya viwanda!?