Mtu Mbadi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2024
- 403
- 457
Yaan acha tu mkuu wale huwa nawaona ni Diploma ambao walikuwa database, I guess tangazo lao lilikuwa 2022 ndo wanachomolewa mdogo mdogo...kimbembe ni kwa Degree holders.. Sema Mungu yupo ngoja tusubirmhh huwa unasoma matangazo lakini.mi naonaga placement za maafisa misitu uwe unasoma post unaweza kuta unazipitaga tu.