Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu nakifika oral matumaini kama yote yupo kwenye kanzi dataJobless anasubiri kuchomokea database kumbe alikandwa vibaya sana alipiga zake 35 safi.
Psrs wekeni maksi kwenye akaunti za jobless wajue moja.
Haloo, 🔥🔥🔥😅 Miungu watu wapo Halmashauri.Hongereni nyote mliofanikiwa kupata kazi. Jamani sisemi kwa ubaya wala nn,sawa am grateful nshaingia kune system ila ukweli usemwe jaman Halmashauri ni pagumuuuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24],tena nahisi Halmashauri nyingine zina afadhali huku kwangu ni balaa jamani. Yani hata kuwezeshwa kufanya kazi zao hakunaaa ni balaa.
Acheni tu watu wapakimbie[emoji23][emoji119]
Huku ni pamotooooHaloo, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji28] Miungu watu wapo Halmashauri.
Hongereni nyote mliofanikiwa kupata kazi. Jamani sisemi kwa ubaya wala nn,sawa am grateful nshaingia kune system ila ukweli usemwe jaman Halmashauri ni pagumuuuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24],tena nahisi Halmashauri nyingine zina afadhali huku kwangu ni balaa jamani. Yani hata kuwezeshwa kufanya kazi zao hakunaaa ni balaa.
Acheni tu watu wapakimbie[emoji23][emoji119]
Yaani ukisikiliza hotuba ya msajili wa Hazina kuhusu taasisi kujitegemea na ukisikiliza hotuba hii ya waziri wa utumishi unaishia kusonya tu😄😄Hii nchi sometimes watu wanaosema ni channel ya vichekesho sasa ninaaza kuamini....75%...!!!
Mungu tusaidie wanao hatuna nguvu ya kutoa neno lolote
Duu bora sijapelekwa halmashauriHongereni nyote mliofanikiwa kupata kazi. Jamani sisemi kwa ubaya wala nn,sawa am grateful nshaingia kune system ila ukweli usemwe jaman Halmashauri ni pagumuuuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24],tena nahisi Halmashauri nyingine zina afadhali huku kwangu ni balaa jamani. Yani hata kuwezeshwa kufanya kazi zao hakunaaa ni balaa.
Acheni tu watu wapakimbie[emoji23][emoji119]
salary to salary, mwenyekiti wa chama ni boss wako,mtendaji,diwani nk ni boss wako.Hongereni nyote mliofanikiwa kupata kazi. Jamani sisemi kwa ubaya wala nn,sawa am grateful nshaingia kune system ila ukweli usemwe jaman Halmashauri ni pagumuuuu![]()
![]()
,tena nahisi Halmashauri nyingine zina afadhali huku kwangu ni balaa jamani. Yani hata kuwezeshwa kufanya kazi zao hakunaaa ni balaa.![]()
Acheni tu watu wapakimbie![]()
![]()
😂😂😂😂Poleni aseeh lakini extra duty si ipo?Hongereni nyote mliofanikiwa kupata kazi. Jamani sisemi kwa ubaya wala nn,sawa am grateful nshaingia kune system ila ukweli usemwe jaman Halmashauri ni pagumuuuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24],tena nahisi Halmashauri nyingine zina afadhali huku kwangu ni balaa jamani. Yani hata kuwezeshwa kufanya kazi zao hakunaaa ni balaa.
Acheni tu watu wapakimbie[emoji23][emoji119]