Native diaspora
JF-Expert Member
- Nov 19, 2020
- 265
- 458
Daah basi tumeisha mkuu[emoji88][emoji88][emoji879] Sio poaMkuu ni Bachelor of Science in Forestry [emoji1787][emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah basi tumeisha mkuu[emoji88][emoji88][emoji879] Sio poaMkuu ni Bachelor of Science in Forestry [emoji1787][emoji2]
Mkuu nawewe umesoma hiyo kozi?[emoji1]Daah basi tumeisha mkuu[emoji88][emoji88][emoji879] Sio poa
Mi nimesoma AKIOLOJI MKUU[emoji879][emoji88]Mkuu nawewe umesoma hiyo kozi?[emoji1]
Mkuu ulisoma coz gani?Wakuu aminini nawaambia nyie ambao sijui mnaitwa interview, sijui mnaenda mpaka oral, mnabaki kweny database mna afadhali wakuu, sisi wengine toka tumalize miaka hiyo hatujawahi omba ajira yeyote kupitia Ajira Portal, kiufupi tunawaonea donge nyie ambao atleast mnaishi kwa matumain flani huenda kuna siku mtalamba asali....[emoji88]
Kuna kazi wametoa?hawa tanapa wanaleta maswala ya umri tena wanataka maveterani wasilambe asali
yaah kuna tangazo kwenye webKuna kazi wametoa?
Hizo received zenyewe hazipatikani!Ndugu katika mapambano tuendelee kuongeza received mapambano yaendelee, #consistence is the key
Nakubal kaka sema nimeona Maliasili wameanza tukumbuka, wameanza na TANAPAMi nimesoma AKIOLOJI MKUU[emoji879][emoji88]
Bachelor of Science in Forestry kakaMkuu ulisoma coz gani?
Ndio wametoa kakaKuna kazi wametoa?
Daah Acha tupambane mkuu Mungu mwemaNakubal kaka sema nimeona Maliasili wameanza tukumbuka, wameanza na TANAPA
Ndugu katika mapambano tuendelee kuongeza received mapambano yaendelee, #consistence is the key
Kwa mtu aliyeajiriwa kwa dip ingali ana bachelor akifika kazini akataka kufanyiwa recategorization inawezekana?Mkuu iko hivi: Recategorization ni kubadilishiwa muundo wa utumishi. Kila kada ina muundo wake wa utumishi unaoainisha ngazi ya chini hadi ya juu. Kwa hiyo ukibadilisha kada ni lazima ubadilishiwe muundo wa utumishi.
Kwa mfano: Muundo wa utumishi wa walimu wenye degree unaanzia TGS D hadi TGS I. Kama kulikuwa na mtumishi ambaye ni mhudumu, muundo wake wa utumishi unaanzia TGOS A na kuendelea. Kama akajiendeleza na kuomba kwenda kusomea diploma ya ualimu.
Muundo wa utumishi wa walimu wenye diploma inaanzia TGS C hadi TGS G. Huyu aliyekuwa mhudumu na amepata diploma ya ualimu na mwajiri wake anayo nafasi ya ualimu, basi atambadilishia muundo wake wa utumishi toka TGOS hadi TGS.
Kitendo hicho cha kubadilishiwa muundo wa utumishi baada ya kuongeza sifa ndicho kinaitwa RECATEGORIZATION
Utapata mkuu kozi gani iyo..Wengine ata received ni tatizo… nimemaliza chuo 2020 kazi zetu zilitoka mara moja tena nafasi 4. Mpaka leo bilabila….
Ila wakati mwingine ni mbaya sana kusoma course ambayo inatolewa na chuo kimoja tu🥲
Dah wametisha wameamua kuchukua chini ya 30hawa tanapa wanaleta maswala ya umri tena wanataka maveterani wasilambe asali