Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongereni nyote mliofanikiwa kupata kazi. Jamani sisemi kwa ubaya wala nn,sawa am grateful nshaingia kune system ila ukweli usemwe jaman Halmashauri ni pagumuuuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24],tena nahisi Halmashauri nyingine zina afadhali huku kwangu ni balaa jamani. Yani hata kuwezeshwa kufanya kazi zao hakunaaa ni balaa.
Acheni tu watu wapakimbie[emoji23][emoji119]
 
Haloo, 🔥🔥🔥😅 Miungu watu wapo Halmashauri.
 
Kwa hiyo huko ni kushika kibunda chako kila mwisho wa mwezi basi, hamna maokoto mengine...? Ila si haba huku mtaani tunabadilisha style ya za mikao tuu nyama ni ngumu mno!
Hongereni nyote mliofanikiwa kupata kazi. Jamani sisemi kwa ubaya wala nn,sawa am grateful nshaingia kune system ila ukweli usemwe jaman Halmashauri ni pagumuuuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24],tena nahisi Halmashauri nyingine zina afadhali huku kwangu ni balaa jamani. Yani hata kuwezeshwa kufanya kazi zao hakunaaa ni balaa.
Acheni tu watu wapakimbie[emoji23][emoji119]
 
Hongereni nyote mliofanikiwa kupata kazi. Jamani sisemi kwa ubaya wala nn,sawa am grateful nshaingia kune system ila ukweli usemwe jaman Halmashauri ni pagumuuuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24],tena nahisi Halmashauri nyingine zina afadhali huku kwangu ni balaa jamani. Yani hata kuwezeshwa kufanya kazi zao hakunaaa ni balaa.
Acheni tu watu wapakimbie[emoji23][emoji119]
Duu bora sijapelekwa halmashauri
 
Hongereni nyote mliofanikiwa kupata kazi. Jamani sisemi kwa ubaya wala nn,sawa am grateful nshaingia kune system ila ukweli usemwe jaman Halmashauri ni pagumuuuu
emoji24.png
emoji24.png
emoji24.png
emoji24.png
,tena nahisi Halmashauri nyingine zina afadhali huku kwangu ni balaa jamani. Yani hata kuwezeshwa kufanya kazi zao hakunaaa ni balaa.
Acheni tu watu wapakimbie
emoji23.png
emoji119.png
salary to salary, mwenyekiti wa chama ni boss wako,mtendaji,diwani nk ni boss wako.

kwanza niulize hela ya kujikimu umelipwa.
 
Hongereni nyote mliofanikiwa kupata kazi. Jamani sisemi kwa ubaya wala nn,sawa am grateful nshaingia kune system ila ukweli usemwe jaman Halmashauri ni pagumuuuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24],tena nahisi Halmashauri nyingine zina afadhali huku kwangu ni balaa jamani. Yani hata kuwezeshwa kufanya kazi zao hakunaaa ni balaa.
Acheni tu watu wapakimbie[emoji23][emoji119]
😂😂😂😂Poleni aseeh lakini extra duty si ipo?
 
Back
Top Bottom