Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]Chakushangaza kuna walioitwa kwenye mafunzo na hawakufanya interview. Ila msikate tamaa ndugu zangu bahati yako ipo
Mbona wazenji ni wengi hapo?Majina ya kuhudhuria mafunzo wizara ya mambo ya ndani yametoka
pambana mkuu utatoboa tuSure...mi huwa nafanya programming..hii DB ndio ya kwanza
Pgss ni tofauti na Tsg Mkuu acha kudanganya watuPGSS ni scale uniform mkuu kama TGS
Amina...taratibu mambo yatakuwa sawa tupambana mkuu utatoboa tu
😁utumishi mnazingua matako yenu
Hongera sanaLGA chief
Leo baada ya kuona mkeka wa Uhamiaji ghafla nikakukumbuka mwanangu kwenye zile harakati za kwenda Raphael kubanga.LGA chief
kaka nipooUmepotea sanaa Kiongozi....
ahsante sana chiefHongera sana
thanks chiefLeo baada ya kuona mkeka wa Uhamiaji ghafla nikakukumbuka mwanangu kwenye zile harakati za kwenda Raphael kubanga.
Hakika wakati wa Mungu ndio wakati sahihi.
Endelea kulamba asali mkuu ya huko LGA.
Wamesahau kuongezea Utumishi neno hili....Mama(rais) pia hatujapenda kujiondoa kwa Taasisi ...View attachment 2939805
Unakubaliana na wakandaji au hukubaliani nao?
Taasisi wamezingua sanaWamesahau kuongezea Utumishi neno hili....Mama(rais) pia hatujapenda kujiondoa kwa Taasisi ...