Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nina stress sana leo, nimeingia kweny account yangu ya ajira portal app nimekuta NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW na ndio nilikua naisubiria pekee 😢
Placements za hiyo interview iliyofanya zilishatoka?
 
Tutorial assistant hii ilifanyika jan 24 ardhi university
Kuna kitu bado sijaelewa apa. Inamaana ulinyaga written ukapita kwenda oral hyo mwezi January afu leo umekuta kwenye account wameandika Not shortlisted for oral interview au ulimaanisha nn mkuu
 
Kuna kitu bado sijaelewa apa. Inamaana ulinyaga written ukapita kwenda oral hyo mwezi January afu leo umekuta kwenye account wameandika Not shortlisted for oral interview au ulimaanisha nn mkuu
Ndio wameandika leo hii not selected for oral interview wakati nilishafanya na tokea hio tarehe jan walikuwa wameweka selected for oral interview
 
Ndio wameandika leo hii not selected for oral interview wakati nilishafanya na tokea hio tarehe jan walikuwa wameweka selected for oral interview
Hyo itakuwa ni tatizo la mfumo tu mkuu kuwa na amani Mungu atabless tu ukalambe asali. Hyo interview ndo ile ya TA ICT nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…