Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Placements za hiyo interview iliyofanya zilishatoka?Nina stress sana leo, nimeingia kweny account yangu ya ajira portal app nimekuta NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW na ndio nilikua naisubiria pekee 😢
Bado hazijatokaPlacements za hiyo interview iliyofanya zilishatoka?
[emoji27] Dah kada gani hiyoNina stress sana leo, nimeingia kweny account yangu ya ajira portal app nimekuta NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW na ndio nilikua naisubiria pekee [emoji22]
Okay, kuna baadhi pia walishawahi kuwa na hiyo status na wakapata placement.Bado hazijatoka
Tutorial assistant hii ilifanyika jan 24 ardhi university[emoji27] Dah kada gani hiyo
Kweli?Okay, kuna baadhi pia walishawahi kuwa na hiyo status na wakapata placement.
Tafuta shuhuda ya Namna hiyo ulete hapaOkay, kuna baadhi pia walishawahi kuwa na hiyo status na wakapata placement.
Maan kwanza nikafatilia mijadala humu ndani naona wanaandik baba jeni bye byeOkay, kuna baadhi pia walishawahi kuwa na hiyo status na wakapata placement.
Ndio, na kuna waliokuwa na Selected na hawakupata mpaka leo.Kweli?
Kuna kitu bado sijaelewa apa. Inamaana ulinyaga written ukapita kwenda oral hyo mwezi January afu leo umekuta kwenye account wameandika Not shortlisted for oral interview au ulimaanisha nn mkuuTutorial assistant hii ilifanyika jan 24 ardhi university
Duh bas hapa ngoja nisubiri pdf tu na kama wamebadilisha leo means pdf inaweza kuja soon. Maan toka jana walikua wameandika selected for oral interview leo naingia ndio nakuta imebadilika hvoNdio, na kuna waliokuwa na Selected na hawakupata mpaka leo.
Ndio wameandika leo hii not selected for oral interview wakati nilishafanya na tokea hio tarehe jan walikuwa wameweka selected for oral interviewKuna kitu bado sijaelewa apa. Inamaana ulinyaga written ukapita kwenda oral hyo mwezi January afu leo umekuta kwenye account wameandika Not shortlisted for oral interview au ulimaanisha nn mkuu
Kama hautaki sikulazimishi.Tafuta shuhuda ya Namna hiyo ulete hapa
Hyo itakuwa ni tatizo la mfumo tu mkuu kuwa na amani Mungu atabless tu ukalambe asali. Hyo interview ndo ile ya TA ICT nini.Ndio wameandika leo hii not selected for oral interview wakati nilishafanya na tokea hio tarehe jan walikuwa wameweka selected for oral interview
Yeah ict pia walikuwepo, koz zilikuwa kama sio 7 au 6 hviHyo itakuwa ni tatizo la mfumo tu mkuu kuwa na amani Mungu atabless tu ukalambe asali. Hyo interview ndo ile ya TA ICT nini.
Ooh sawa inamaana mpaka leo bado hawajaita kazini.Yeah ict pia walikuwepo, koz zilikuwa kama sio 7 au 6 hvi
Bado ndio tunasubiria now imefika miez 2 na siku kadhaaOoh sawa inamaana mpaka leo bado hawajaita kazini.
Hili siyo suala la kulazimishana, ni muhimu kuthibitisha bila kuacha tashwishwi yoyote.Kama hautaki sikulazimishi.
mmmh mie nilifanya interview baada ya wiki status ikachange huu mwaka 3 apeche aloloNina stress sana leo, nimeingia kweny account yangu ya ajira portal app nimekuta NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW na ndio nilikua naisubiria pekee 😢