Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Upo sahihi mkuu waishi humu watakuja kushukuru badae
 
Umeweka vitu vya msingi sana hapa umegusa penyewe sana
 
Mwifwa pitia hapo juu naona wamewachagua watano pale mzee hii nafasi ni yako niamini mimi
 
Ahsante sana mkuu kwa muongozo, naishi nalo hili
 
Ahsante sana mkuu
 
Mkuu nimepita, namshukuru Mungu kwa hatua.

Walichelewesha kuniwekea matokeo, nikahitimisha, asubuhi ya leo nikaangalia profile nikakuta wameniwekea

Picha lilianza huamini hata kama NAOT watakuita kwenye written, wakakuita. Likaja kwenye written watatoa maeneo gani, ikafanyika huku matumaini ni ya kusuasua, taarifa za matokeo zikawa na hisia itakuwa imekuwa kama inavyokuwaga, likaishia umepita kwenda Oral.

Bado season II, itakuwa kwenye kusubiri PDF baada ya kuchoka na namna status itakuwa ikibadilika kwenye akaunti, episode ya mwisho kabisa jina litaonekana kwenye placement.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hii lazima atoboe mzee
 
Ahsante sana mkuu.

Ipo siku tutakutunuku taji la heshima humu, unapigana bega kwa bega na jobless wenzio hadi sio poa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ahsante sana, ni kweli jana nikisononeka sana na nikiamua kuaga mapema nikalala.

Ila asubuhi roho ikawa inanisuta hatimaye nikaingia tena kwenye profile nilichokiona ikawa sherehe
 
Duuu, kumbe nilitembeza stiki za kufa mtu ee, top 5 sio mchezo
Hongera[emoji1431]
Sisi 9 pamoja na yule wa Zanzibar. Kikubwa zaidi hii nafasi nliopo sikutegemea aisee, Mungu ni mkuu, kama kawaida kwenye pdf nmeanza katikati kwa walio selected sijajiona nashtuka mbona hivi sipo kumbe nipo bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…