Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kea uzoefu wangu na wenzangu ambao wana kazi sasa hivi
Kwanza vaa vizuri, hapa namaanisha uwe smart, kuanzia juu hadi chini. Suti angalau au kama huna basi ata shirt official na surual plus viatu vya kufunika sio sandal.
Swali la kwanza always linakuwaga tell us about yourself, hapa utaongea ur introduction, ur education inshort atleast anzia level ya chuo, na professional experience. Ila wakisema ur education history and professional history, hapa tell about ur education background inshort labda kuanzia primary till where u are na professional background sehem ulipofanyia kazi na internship. Nakazia inshort, ukitaka kuelezea kingereza kitakutupa mkono. Mimi ndivyo najua hivi.
Upo sahihi mkuu waishi humu watakuja kushukuru badae
 
Kwanza kabisa swali la kwanza Tell us about your education background
2. Swali la pili duties zako zile lakini hawakuulizi direct huwa wanaanza tofauti kidogo unaweza usielewe kama wanataka duties zile Kwahiyo kuwa makini usipaniki
3.Swali la tatu ujuwe challenge za kazi yako na hapa wewe ndo inabidi uoneshe unajua sasa na jinsi yakuzisolve hizo challenge
4.kuanzia la nne sasa hayo ni technical questions zinabase kwenye zile duties Kwahiyo isome kila duties uelewe inavyofanyika na kingine soma notes za course yako
Nadhani mpaka hapa mzee ukipita humu basi jiandae tu kwenda kuchukua barua
Umeweka vitu vya msingi sana hapa umegusa penyewe sana
 
Kea uzoefu wangu na wenzangu ambao wana kazi sasa hivi
Kwanza vaa vizuri, hapa namaanisha uwe smart, kuanzia juu hadi chini. Suti angalau au kama huna basi ata shirt official na surual plus viatu vya kufunika sio sandal.
Swali la kwanza always linakuwaga tell us about yourself, hapa utaongea ur introduction, ur education inshort atleast anzia level ya chuo, na professional experience. Ila wakisema ur education history and professional history, hapa tell about ur education background inshort labda kuanzia primary till where u are na professional background sehem ulipofanyia kazi na internship. Nakazia inshort, ukitaka kuelezea kingereza kitakutupa mkono. Mimi ndivyo najua hivi.
Ahsante sana mkuu kwa muongozo, naishi nalo hili
 
Maswali yanakuwa matano, la kwanza likiwa hilo la kutell about yourself, then manne ni according to your professional.
Kwenye land officer niliulizwa maswali yafuatayo
1. Mention five laws/acts dealing with land in Tanzsnzia
2. How will you solve the problem of land registration in Tanzania
3. Five factors which determines the cost of land
4. How will you solve land conflicts

Oral ya pili ilikuwa Legal Officer niliulizwa maswali yafuatayo
1. Mention 3 types of tortuous liability
2. Mention five instruments of legislative drafting in Tanzania
3. Mention five stages where you can tender exbihits
4. Five ways of discharging a contract

So mnaweza kucompare na kwenye kada yenu kuforesee which types of questions can come
Ahsante sana mkuu
 
Mkuu nimepita, namshukuru Mungu kwa hatua.

Walichelewesha kuniwekea matokeo, nikahitimisha, asubuhi ya leo nikaangalia profile nikakuta wameniwekea

Picha lilianza huamini hata kama NAOT watakuita kwenye written, wakakuita. Likaja kwenye written watatoa maeneo gani, ikafanyika huku matumaini ni ya kusuasua, taarifa za matokeo zikawa na hisia itakuwa imekuwa kama inavyokuwaga, likaishia umepita kwenda Oral.

Bado season II, itakuwa kwenye kusubiri PDF baada ya kuchoka na namna status itakuwa ikibadilika kwenye akaunti, episode ya mwisho kabisa jina litaonekana kwenye placement.
 
😂😂😂😂Hii lazima atoboe mzee
 
Kwanza kabisa swali la kwanza Tell us about your education background
2. Swali la pili duties zako zile lakini hawakuulizi direct huwa wanaanza tofauti kidogo unaweza usielewe kama wanataka duties zile Kwahiyo kuwa makini usipaniki
3.Swali la tatu ujuwe challenge za kazi yako na hapa wewe ndo inabidi uoneshe unajua sasa na jinsi yakuzisolve hizo challenge
4.kuanzia la nne sasa hayo ni technical questions zinabase kwenye zile duties Kwahiyo isome kila duties uelewe inavyofanyika na kingine soma notes za course yako
Nadhani mpaka hapa mzee ukipita humu basi jiandae tu kwenda kuchukua barua
Ahsante sana mkuu.

Ipo siku tutakutunuku taji la heshima humu, unapigana bega kwa bega na jobless wenzio hadi sio poa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dah sikua na MB Toka Jana jioni ila now ndo naingia online nimesoma comment zote mpka hapa kwako mwanzo nilisikitika sana baada ya pork kusema kwake selected for oral then wewe ukasema wamekukanda dah aiseee ila now naona hii comment ukweli kutoka moyoni mkuu furaha niliyopata hapa haipishani na siku nimeiona jina LANGU kwenye pdf ya kuchukua barua dah hongera mkuu
Ahsante sana, ni kweli jana nikisononeka sana na nikiamua kuaga mapema nikalala.

Ila asubuhi roho ikawa inanisuta hatimaye nikaingia tena kwenye profile nilichokiona ikawa sherehe
 
Duuu, kumbe nilitembeza stiki za kufa mtu ee, top 5 sio mchezo
Hongera[emoji1431]
Sisi 9 pamoja na yule wa Zanzibar. Kikubwa zaidi hii nafasi nliopo sikutegemea aisee, Mungu ni mkuu, kama kawaida kwenye pdf nmeanza katikati kwa walio selected sijajiona nashtuka mbona hivi sipo kumbe nipo bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom