Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Iv Kuna rafk yangu alifanya oral kama wiki imepita wakamuambia chet chake Cha form four hakionekan vzur wakampa email akitume tena lakn placement zimetoka na hajaitwa kazini, je huwa wanakagua vyeti baada ya oral!?
Hamna kitu hicho kama cheti hakionelani kwenye interview walimuitaje sasa??na walimwambia kwenye simu au face to face kuwa hakionekani vizuri ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…