The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Nadhani pdf ni mpka baada ya pasaka wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siunaona no interview currently pale ndio kifuatacho icho kama kipindi kilee tulichokaaga karibia mwezi mzima.usishangae wakaunganisha mpaka iddi maana akili zao wanazijua wenyewe 🤣 🤣Nadhani pdf ni mpka baada ya pasaka wakuu
😂😂😂😂Muhimu wote tuna check number kitawaka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shauri yako utajikanga mwenyewe
Hamna kitu hicho kama cheti hakionelani kwenye interview walimuitaje sasa??na walimwambia kwenye simu au face to face kuwa hakionekani vizuri ?Iv Kuna rafk yangu alifanya oral kama wiki imepita wakamuambia chet chake Cha form four hakionekan vzur wakampa email akitume tena lakn placement zimetoka na hajaitwa kazini, je huwa wanakagua vyeti baada ya oral!?
Kwamba mtaringishiana, yake ishakuwa kongwe ina increment kadhaa kuliko wewe[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muhimu wote tuna check number kitawaka tu
Walimpigia simHamna kitu hicho kama cheti hakionelani kwenye interview walimuitaje sasa??na walimwambia kwenye simu au face to face kuwa hakionekani vizuri ?
😂😂😂HahhhhhKwamba mtaringishiana, yake ishakuwa kongwe ina increment kadhaa kuliko wewe[emoji2]
hakionekani vizuri kwenye portal??Walimpigia sim
Usanii tu kama akionekani walimshort list vipi?😀😀hakionekani vizuri kwenye portal??
😂😂😂😂Hapo ndo kinachonishangaza sasaUsanii tu kama akionekani walimshort list vipi?😀😀
Daaaah ni hatari sanaHii pdf hii labda mpaka pasaka ipite
Au mpaka baada ya Eid kabisa maana imechelewa kinomaHii pdf hii labda mpaka pasaka ipite
Mtusi yanakusaidia nini ?utumishi kumamayo zenu
🤣 yanaeleweka hayo walitoboaMmh hawa walitoboa kweli😅
Mkuu katika hayo mambo its better uka limit expectations ili uishi maisha ya amani tu aise.Nina stress sana leo, nimeingia kweny account yangu ya ajira portal app nimekuta NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW na ndio nilikua naisubiria pekee 😢
kaka shikamooKwamba mtaringishiana, yake ishakuwa kongwe ina increment kadhaa kuliko wewe[emoji2]
Sitakii[emoji2]kaka shikamoo