Mimi nimekua katika ukuaji wangu bibi na babu walikuwa wakinipa hadhili za vigano mwisho wa hadithi ikiisha walikuwa wanamalizia neno hili kuwa “MWENYE SHIBE AIJUI NJAA YA MWENZAKE(MWENYE NJAA)”, Nilikiwa nashindwa kuelewa why wanasema hivyo kila siku ila baadaye nikaja kujua maaana halisi, kweli Tanzania ina watu wa ajabu sana, na hivi ile kauli ya kusema namuachia Mungu ivi hamjuagi imeficha mambo mengi nyuma ya pazia😁, ila haina shida wazee wengi sikuizi wanazidi kufa sana so wakiisha tutabaki vijana wenye maalifa na ukiangalia kijana ndo kila kitu na nguvu katika hii dunia, so mfumo itakawa sawa wazee wasio kuwa na malifa ya zida na kujua njaa za binadamu wenzao wakifa wote, sijui nimeeleweka!
Hakuna kitu kibaya kama chuki katika masuala ya ajira maana huiondoa haki, usawa, heshima, utulivu, uwajibikaji katika taifa la mwenye haki, na mwisho wa siku taifa linaenda katika migogoro ya nafisi na mwisho wa siku kulipasua taifa😭😭😭,
Watumishi wengi wanafeli suala la uajibikaji na kuwa integrant na intelligence,
Kumbukeni vijana hawa wanaojitengenezea chuki sababu ya udhaifu mnao onesha kumbukeni wesoma fani mbalimabli, kwa dunia ya sasa huoni italeta sifa mbaya kwa taifa, je wao vijana wakiaza kutumia mbinu zoa na marifa yao katika kulibomoa taifa hivi munafikili Nguvu inayo linda taifa itaweza kuizidi hakili ya wenye marifa?
Inabidi hii nchi tuacheni siasa zisizo na vitendo chanya, ubabaishaji, kutumia nguvu bila maarifa, vyeo na n.k. Bali tutumia uwezo na ufanisi wa hali ya juu ili kusaidiana katika taifa la mwenye haki,
Ishort inaboa sana ukiangalia leadership style ya sector tasisi, vyombo vya ulinzi na usalama, mabalaza na wizara/idara nyingi inakela na tunaishia kusema Mungu saidia:
We are tired
Ni Kweli yapo mema yanayo fanyika ila ukija katika tathimini ya mema na mabaya, kila mwenzi au mwaka mabaya ndo mengi kuliko mema kwamjubu wa hisabati hapo tunawaweka katika group gani kama sio la ubaya!